United ya Ferguson
JF-Expert Member
- Oct 29, 2021
- 3,237
- 6,604
Fei kwa kuvusha mipira kama Toni kroos
Ni kama watu hawana morali na timu ya taifaInakuwaje mkuu, attendence haiko poa
Uko Kenya Tutaenda ata kwa malori ya mizigo mbona karikoo yapo Mengi TuMo Salah
Kw nin ?Natamani Tanzania ifungwe 3
Jidanganye!. Alishakuja Drogba na uwanja haukujaaa, walishakuja Brazil lakini hamna kitu.awee Africon lazima tujae nani Hataki kumuona sadio mane Mimi naanza kuweka hela kwenye kibubu mapema Kabisa mechi ata ikiwa Arusha tuumana uko uko
Game watu walijaa Ile Si ndio yaya you're alifunga kwa penatiJidanganye!. Alishakuja Drogba na uwanja haukujaaa, walishakuja Brazil lakini hamna kitu
Unakumbuka Brazil kiingilio ilikuwa sh ngapi?Jidanganye!. Alishakuja Drogba na uwanja haukujaaa, walishakuja Brazil lakini hamna kitu.
Kiingilio cha Brazil kilikuwa cha kikoloniJidanganye!. Alishakuja Drogba na uwanja haukujaaa, walishakuja Brazil lakini hamna kitu.