Uzi Maalumu: CAF African Nations Championship (CHAN) 2024: Morroco yawa mabingwa

Uzi Maalumu: CAF African Nations Championship (CHAN) 2024: Morroco yawa mabingwa

Mashindano yamepoa, hamasa ziro, uwanja haujajaa hakuna vibe!! TFF na karia wake wamefeli, ile ishu ya YANGA NA SIMBA ilikua pati gazeti tu, picha lote la uozo wa TFF tunaliona hapa. Mama Samia, tunaomba utusaidia kutuma barua ya senkyu kwa KARIA, anatuambia na niwazi kabisa hawezi tena kuupeleka mpira wa Tanzania mbele. Atolewe kwa nguvu yoyote!!

Yani tumeshindwa kujaza uwanja kwenye shindano kubwa kama hili!! Aibu sana
 
Na hivi vyuo vimefungwa...
 
Kwamba vyuo ndio vinajaza uwanja
Back up mdau.
Ungewapelekea mabasi ungewapata wakutosha.
Hizo basi 100 za Kinondoni zingeenda pale UD hostel zote
100×30 na wangerudia.
Likewise DUCE hapo, Kigamboni nk
 
Kuna timu itapigwa mpaka ichakae leo
 
Back
Top Bottom