Greatest Of All Time
Platinum Member
- Jan 1, 2017
- 26,550
- 62,019
Mudathir…
Na mwezake mzize mchezaji Fei TU awo wengine mbuzi tu kama mbuzi wengineIddy Nado ni machachari tu hana madhara
Na Mohamed Huseni Simba wamefanya maamuzi Bora sana kumuachaKapombe ni mtumishi hewa anatakiwa atundike daruga.
NakaziaNa mwezake mzize mchezaji Fei TU awo wengine mbuzi tu kama mbuzi wengine
Siipendi Tu, na Mpira hawajuiKw nin ?
Amsha amsha ya mashindano haya ni kama haikuwepo kabisa tusubiri 2027Ni kama watu hawana morali na timu ya taifa
Jicho la soccer na sio kabumbuUnamwangalia kwa jicho gani?