Uzi Maalumu: CAF African Nations Championship (CHAN) 2024: Morroco yawa mabingwa


Kenya wameathirika na kutocheza mashindano ya kimataifa kwa muda mrefu ila naona wachezaji wanapambania taifa lao sana.

Sipendagi kuona mwenyeji wa mashindano anatoka mapema, mashindano huwa yanadorora. Wasonge mbele, kama kutoka waje kutoka huko mbele robo au nusu fainali. Nadhani wakikutana na Zambia wataweza kupata walau sare.

Mara paaah, Tanzania vs Kenya halafu mechi inafanyikia Kenya, aisee itakuwa mechi moja yenye msisimko sana.
 
Kwa timu yetu ya Taifa, inabidi wajidhatiti kwenye nafasi ya kiungo, hakuna kiungo mchezeshaji wa kutoa pasi za mwisho zenye macho.

Wakina Mzize hawapewi pasi za uhakika.
 
Game za Leo
Algeria 🇩🇿
 
Tz tukomae tuchukue kombe hilo...
 
Wadau hii game ya Saa 11 ni ya moto sana leo hii!!
 
Hivi kwanini Souz hawamtumii Williams?
 
Naona hata wale viungo na mabeki wa Mamelodi hawapo.
Why?
 
Reactions: K11
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…