Uzi Maalumu: CAF African Nations Championship (CHAN) 2024: Morroco yawa mabingwa

81'
Algeria 1
South Africa 1
Game on
 
85'
Algeria 1
South Africa 1
Game on
 

Hawa wahuni wako huku aisee...
 
CAF wasifikiri watu wa dar wataingia viwanjani hiyo AFCON 2027.Pelekeni tu AFCON Ichezwe Uganda na Kenya tu angalau wanajitahidi kuingia viwanjani. Mpira ni mashabiki.
 
CAF wasifikiri watu wa dar wataingia viwanjani hiyo AFCON 2027.Pelekeni tu AFCON Ichezwe Uganda na Kenya tu angalau wanajitahidi kuingia viwanjani. Mpira ni mashabiki.
Wanajitahidi sana aisee.

Wabongo wanapenda vibanda umiza na bar.
Ninapocheki game leo kuna nyomi ya kutosha wanacheki ball + bia.
Watu wa dar wanakunywa sana pombe
 
Nambole inakaribia kujaa.
Game ya Guinea vs Uganda itakuwa na nyomi
 
Niliandika Uzi juzi hapa wajinga wakanishambulia Kwa maneno, Tanzania haikustahili kuwa moja ya wenyeji wa CHAN tournaments 2024.
Tanzania ni mashabiki wa Yanga na Simba.
Ngoja tuone kesho.
Mimi nitakuwepo! Kuwepo uwanjani kuna ladha yake.
I love football
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…