Uzi Maalumu: CAF African Nations Championship (CHAN) 2024: Morroco yawa mabingwa

HAmza anaenda kucheza namba 6 nafasi ya Kagoma mwe ye kadi mbili za njano hivyo kupelekea kuukosa mchezo wa leo
 
Wazee ngapi ngapi huko huku Tanesco wamepandwa na wazimu
 
Huyu mchezaji wangu wa Simba huwa ananipa wasiwasi sana, game ngumu huwa anajivunja na mara nyingi sana tunapasuka... Nimemfuatilia muda mrefu sana trend yake ni hiyo
Hili la hamza kucheza namba sita naona wazi Anamosa sana pasi hapa
 
Mapemaaaaaaa🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…