Uzi Maalumu: CAF African Nations Championship (CHAN) 2024: Morroco yawa mabingwa

Tukiwaongeza la 3 utawaona hawana boli wanalocheza
Wee umeona wanavyo nyumbulika wahindi koko...boli linatembea jamaa wanatandaza kandanda.

Ila wanawane sie inabidi tuongeze watu maana hapa sasa sub muhimu sana...huwezi rudisha squad hiyo hiyo kila mechi bila changes
 
Tunasubiria goli la 3 kwa hamu sana hapa
 
Wee umeona wanavyo nyumbulika wahindi koko...boli linatembea jamaa wanatandaza kandanda.

Ila wanawane sie inabidi tuongeze watu maana hapa sasa sub muhimu sana...huwezi rudisha squad hiyo hiyo kila mechi bila changes
Tunawafunga hawa subiri uone
 
Kona kuelekea Madagascar

Dakika 68

Tanzania 2-1 Madagascar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…