Uzi Maalumu: CAF African Nations Championship (CHAN) 2024: Morroco yawa mabingwa

Kombe likitua Tz itapendeza sana.

Japo wanasiasa watadandia show ila kwa ''Utaifa" ni bora litue ukifanikiwa kuwatoa Morocco na Algeria umechukua kombe kitu ambacho ni very difficult
 
Kwanzia hapa tukikaza linatua vizuri tu

Chamsingi viungo namba 6 aletwe mwengine wa kumsaidia kagoma akikosekana
Sijui nani alishauri Hamza kucheza #6.
Kwanza hakujua hata anatakiwa kufanya nini...
Ila hii pia ilitupa namna yakuona akili yake ilivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…