Uzi maalumu: Kijiwe cha Soga kwa waliowahi na wanaoendelea kukaa nje ya Tanzania

Uzi maalumu: Kijiwe cha Soga kwa waliowahi na wanaoendelea kukaa nje ya Tanzania

Watanzania wa diaspora wako very pathetic/useless.....tabia zao ni kama za wanaume wa Dar tu au mapashikuna ya Tandale huko majuu. Ona Mange Kimambi anavyofuatilia maisha ya wenzake na kuwachamba mtandaoni. Hivi ndivyo walivyo watanzania wengi nje ya nchi, they never assimilate, sijuwi wanaogopa lugha?
Kabisa mkuu wabongo masnitch
 
Asilimia 99% ya wabongo nje ya nchi never assimilate na wazawa, siku zote ni wao kwa wao tu na wanaendekeza ujinga ule ule wa kibongo huko majuu. Wanachukuliana mabwana na mademu, umbea, majungu yasiyo na tija kwao, kuchukiana, na kuchunguzana maisha ndiyo furaha yao. Asikudanganye mbongo yoyote kuhusu hili, wale wanao assimilate na wazawa ni wale wababishaji wauza nganda (sembe) na wanafanya hivi kwa sababu hawana jinsi ya kuishi. Changamoto kubwa ya wabongo waishio nje ni wabongo wenzao, wanauzana sana na kuchomeana immigration kwa ajili ya chuki zao za kijinga . Ndiyo maana nilipokuwa naishi majuu for 4 years (shule) sikutaka kujihusisha na wabongo hata siku moja mpaka nikarudi Bongo.
mno vema mkuu ukakomaa kivyako
 
Asilimia 99% ya wabongo nje ya nchi never assimilate na wazawa, siku zote ni wao kwa wao tu na wanaendekeza ujinga ule ule wa kibongo huko majuu. Wanachukuliana mabwana na mademu, umbea, majungu yasiyo na tija kwao, kuchukiana, na kuchunguzana maisha ndiyo furaha yao. Asikudanganye mbongo yoyote kuhusu hili, wale wanao assimilate na wazawa ni wale wababishaji wauza nganda (sembe) na wanafanya hivi kwa sababu hawana jinsi ya kuishi. Changamoto kubwa ya wabongo waishio nje ni wabongo wenzao, wanauzana sana na kuchomeana immigration kwa ajili ya chuki zao za kijinga. Ndiyo maana nilipokuwa naishi majuu for 4 years (shule) sikutaka kujihusisha na wabongo hata siku moja mpaka nikarudi Bongo.
Mkuu unayosema kweli kabisa. Yani mbongo wanachomeana sana polisi na immigration. Kuna waliorudishwa/deported bongo kwa kuchomewa. Mimi na wabongo wenzangu mbali mbali sana.

Nimeishi shared apartment na manationalites wengine hadi majuz niliamia ghetto langu mwenyewe.

Nasio wabongo tu hata manigger wengine tabia yao iyo iyo wenyewe kwa wenyewe.
Watanzania wa diaspora wako very pathetic/useless.....tabia zao ni kama za wanaume wa Dar tu au mapashikuna ya Tandale huko majuu. Ona Mange Kimambi anavyofuatilia maisha ya wenzake na kuwachamba mtandaoni. Hivi ndivyo walivyo watanzania wengi nje ya nchi, they never assimilate, sijuwi wanaogopa lugha?
Ingawa sijawahi kufika Ulaya wala Amerika ,Ila hz nchi chache za ki Africa ,central ,east na north ,kitu ambacho sitaki na huwa sifanyi ni kujaribu kukutana au kujenga mazoea na mbongo ,sipotezi huo muda
 
safari yangu ya kwanza
ilikuwa kwenda Zambia kusaka life la kutimkia south
nilifika tunduma nilikaa siku zaidi ya 20 kutafuta pesa ya kumlaghai dereva wa malori anipakize (Home nilitoroka coz ya harakat za mzee sikuwa naziipenda )
nilifanikiwa kwenda Zambia asee huko niliungana na vijana mbali mbali (walioshindikana)
hapo nikaanza Ku experience Maisha mapya ya UHUNI(ganja,bhangi na pombe)
vijana wengi wa zambia walikuwa wanatimkia south na Botswana (hapa kupata urahisi wa kwenda majuu)
basi bwana sie kama kawa tukaunga na vijana wa kizambia hadi south&botswna (wote tukiwa na plan ya kukutana Scandinavian country after 10/5 yrs)
kundi letu yulitoroshewa south (kuna NyOka wa kusafirisha watu ki magendo)
kufika south tulifikia mji unaitwa Pretoria
kule kimbembe kikawa kazi hakuna Wala Fursa hakuna
mostly time vijana tukawa tuna chill kwenye majengo Makuu kuu.(vijana wengi wanaotimkia south wanakuta maisha ndivyo sivyo hapo ndipo ujiingiz kwenye makundi mabaya)
 
daah life lilitupiga Sanaa
nakumbuka kuna wenzetu wamalawi baada ya ugumu kuzidi wakajiingiza kwenye matendo ya ushoga
wale wazambia na Mimi tukajiingiza kwenye matendo ya uporaji,ubakaji etc (Mungu anisamehe sanaa kwa dhambi nilizofanya kipindi nasaka life)
daah kutokana na kuwa na CV mbovu ikatulazimu tutimke kwa makundi na kujigawa coz tulikuwa 10 wabongo wa 3 na wa zambia 5 na wamalawi wa 2 m1 Kati yao aliamua kuwa shoga
Mimi na mwenzangu kutoka hapa bongo na wa zambia wa 3 tukatimika sehemu moja inaitwa polokwane
 
Ni kweli ukienda sehemu kichwa kichwa lazima uangukie pua
 
daah life lilitupiga Sanaa
nakumbuka kuna wenzetu wamalawi baada ya ugumu kuzidi wakajiingiza kwenye matendo ya ushoga
wale wazambia na Mimi tukajiingiza kwenye matendo ya uporaji,ubakaji etc (Mungu anisamehe sanaa kwa dhambi nilizofanya kipindi nasaka life)
daah kutokana na kuwa na CV mbovu ikatulazimu tutimke kwa makundi na kujigawa coz tulikuwa 10 wabongo wa 3 na wa zambia 5 na wamalawi wa 2 m1 Kati yao aliamua kuwa shoga
Mimi na mwenzangu kutoka hapa bongo na wa zambia wa 3 tukatimika sehemu moja inaitwa polokwane
Mkuu malizia mkuu ikawaje ngoja kwanza tupe storu
 
Reykjavik ni poa. Hasa ni mji wa watalii. Nilikuwa napiga black job restaurant vyombo. Vitu ghali hasa msosi. Wana supermarket yao moja inaitwa badget ndio inaunafuu ila inafungwa mapema sana saa 12 jioni. Reykjavik ni mji simple sana hamna hata train wala tram. Icelandic are friendly and smiling.

Kilichonipeleka Icelend reykjavik ni mzigo boks tatizo jama yangu ambaye ningefikia kwake hakunipokea airport na nilimisplace wallet yangu. Ila kuna jama anaendesha teksi msenegal anaitwa Mo ksma kunambongo anaish reykjavik atamjua. Jamaa alinisadia sana. Natakaga kuleta uzi wa experience ya icelend ila nakuwa mvivu
Lete mkuu utusaidie wenye mawazo ya kumkimbia jiwe
 
Back
Top Bottom