Uzi maalumu kwa ajili nyimbo za injili za zamani(Old school Gospel songs) za Tanzania!

Mkuu umenikumbusha mbali sana, barabara 13 hawa jamaa walikua kiboko. Daaah kitambo sana
 
Acha Nipekuepekue Mafaili Yangu,nikiipata nitaipandisha hapa!
 
Nisaidie kujua huyu mwimbaji yupo wapi na pia kupata audio au video zake.
Anaitwa Nathanael Hingi. Mojawapo ya kazi zake za miaka ya 90 ni hii hapa kaseti yake.

 
Kuna mwimbaji alikua anaitwa rose na Salome kati yao kuna alieimba wimbo wa Yule mwizi msalabani alimwambia bwana Yesu ukirudi ktk ufalme wako wa mbingu unakumbuka


Salome akaimba tena watakapokulaza chini na kusema ee bwana bwana mtu huyu tunamjua alikua mwalimu mwema je hayo matendo yako yatakua mema kwa Mungu ili ukipate kibali cha kukufikisha mbinguni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…