Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,682
- 98,253
Kwaya Kuu Kimara Lutheran Choir!
Katika Njia ya Injili!
Naupenda mnoooo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwaya Kuu Kimara Lutheran Choir!
Katika Njia ya Injili!
Acha tuendelee kusambaziana utukufu na upako!Naupenda mnoooo
Huo Namba 2 is My Best Song Ever....ahahaha1. Safari yao Wana Israel kutoka Misri kwenda Kanani,
Yafanana na safari yetu tuliyonayo kwenda mbinguni,
Tazama wengi hawakuweza kufika kwa sababu walivunja maagizo ya Mungu
2. Mahangaiko na Mahangaiko
Na shughuli za kila siku
Zimewafanya wanadamu, wamsahau Mungu wao
hiyo hapo chini!Kuna kwaya inaitwa mwasumbi...ya mbeya nawatafuta mno
Haha old is goldHuo Namba 2 is My Best Song Ever....ahahaha
Ahahaha,i know where to fork up that song,just a sec!Haha old is gold
Kuna wimbo najitahidi kuukumbuka hapa, unanigomea. Nakumbuka tu sehemu hii kidogo, ni story ya mwanamke Msamaria
"Basi yule mwanamke Msamaria akamwambia
Imekuwaje wewe Myahudi kutaka maji kwa Msamaria
Maana Wayahudi hawachangamani na Wasamaria"
Upendo Hai Choir!
Mwanamke Msamaria!
Mwasumbi Mbeya Choir!
Dhambi ni Mbaya!
Umeona hata jinsi wanavyocheza?ki-amaizing amaizing hivi!Haha thank youuuu
Sorry,acha nirudi tena chimbo!Mkuu huyu ni munishi
SanaaaUmeona hata jinsi wanavyocheza?ki-amaizing amaizing hivi!
Mkuu,huu wimbo huu,dah!ebu subiri kwanza...Sanaaa
Kuna huu mwingine
"Furaha gani wapendwa tukishafika mbinguni...
Alisulubiwa Yesu kutuokoa. ...
Na huu mwingine sijui napatia kidogoMkuu,huu wimbo huu,dah!ebu subiri kwanza...
I am on it!Na huu mwingine sijui napatia kidogo
"Njooni na furaha, enyi wa Imani
Kwa maana Kristo Bwana, kazaliwa"