tpaul
JF-Expert Member
- Feb 3, 2008
- 24,225
- 22,632
Ndugu wanaMMU, naingia kwenye mada moja kwa moja bila kuwachosha wala kuwapotezea muda.
Baada ya kuona idadi ya single mothers inazidi kuongezeka kila kukicha, nimeshawishika kufungua uzi maalumu kwa ajili yao ili kwa pamoja tuweze kutoa mawazo jinsi ya kuwasaidia na kuwashauri. Hii itasaidia kupunguza idadi ya single mothers na kuzuia wengine kutumbukia kwenye kundi hili.
Tusiwaone kama losers, chicken-headed, stubborn, hot heads and all bad names you call them bali tuanze kuwapa ushauri wa kisaikolojia pamoja na kuwatia moyo. Sambamba na hilo, pia tuwape mbinu ya kutoka kwenye usingle mama ili kusudi waanze kuishi maisha ya kawaida kama wanawake wengine.
inasikitisha kuona baadhi ya wanawake nao wakiwasimanga hawa single mothers. Haipendezi hata kidogo. Waelewe kuwa nao wasipochukua hatua madhubiti, wanaweza kutumbukia kwenye usingle mothers wakati wowote.
Tunafahamu kuwa hili ni kundi la watu ambalo wengi wao wapo stressed na wamekata tamaa ya maisha baada ya kukimbiwa au kutendwa na wenza wao waliosababisha wafike hapa walipo. Kwa hiyo, tusiwanyanyapae wala kuwatenga kwa namna yoyote ile.
Naomba nisiseme sana. Kwa kuwa tupo wengi humu na kwa kuwa penye wengi hakiharibiki kitu, kila mwenye nia njema asogee hapa atoe ushauri namna ya kupunguza idadi yao na jinsi ya kuwazuia wanawake wengine wasitumbukie kwenye kundi hili.
Nawasilisha.