Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
Mtuache na maisha yetu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uko sahihi kabisa kiongozi kwa sbb hizi. Hata anaetafuta suluhisho la nini kifanyike ili kupunguza janga la single mothers ni vizuri akarejelea sbb hizi. Naliita janga kwa sbb linaathiri Moja kwa Moja maadili na malezi ya watoto na hivyo taifa kupungukiwa na hazina ya viongozi wa kesho. Hivi karibuni zimetolewa takwimu kwamba divorce zinazoongoza ni zile za Wanawake walio kati ya miaka 25 -36, ambapo ndo umri kwa Sasa unaowasumbua sana akina mama kwa sababu ulizotaja hapa. Suluhisho waondokane na 50/50 ideology, wajiheshimu, waheshimu nafasi ya mwanaume ktk familia, wawe ni wenye subira ktk maisha, waheshimu maandiko ktk misahafu, serikali itake control ya kupitia idara zake za ustawi wa jamii na mahakama, kwani kwa Sasa mwanamke anaweza kutunga uongo tu akafile divorce na idara hizo zikatoa divorce hata akiwa peke yake with no apparent reasons/au sababu za kusadikika. Madhara ya single mothers siyo kwao zaidi Bali ni kwa hatima ya watoto na Taifa. Ni vizuri sana mamlaka za serikali zinazosimamia divorce zijithibitishie sababu zinazotolewa ili kutoa divorce. Lazima tujiulize au serikali ijiulize kwa nini Sasa hivi rate ya divorce imeongezeka? Then warudi kwenye sababu na namna ya ku-mitigate siyo tu kutupa takwimu without taking serious mitigation measures.....waziri Dorothy Gwajima apate maoni haya tafadhali.Sababu za wanawake kuwa single Maza;
1. Kausha damu - anakuwa na mwanaume yeye anamgeuza kitega uchumi chake mwisho wa siku mwanaume anachoka na yeye anatumia may be kushika mimba unplanned au kuwa na mtoto ili iwe sababu ya kumkamata huyo mwanaume, mwisho wa siku mwanaume anasepa
2. Wanawake wengi walioajiriwa au kuwa na vibarua au biashara zinazowafanya wawe na kipato Cha kuwakimu kimaisha Wana tabia za kupandisha mabega juu na kujiona wapo successful na maisha na hali hiyo huwajengea kiburi na dharau kwa mwanaume aliye nae. WANAUME WENGI HAWAPENDI DHARAU HATA AMA MWANAMKE ATAKUWA MILIONEA MWANAUME ATASEPA....hapo mwanamke ataendelea kuwa single Maza tu
3. Kulingia uzuri.....unakuta mwanamke ameolewa yupo na familia yake lakini bado anaendekeza umalaya kisa kujiona yeye mzuri na anatongozwa na kila mwanaume. Hakuna mwanaume anavumilia kuishi na mwanamke anayetombeka hovyooo mwisho wa siku divorce na anaishia kuwa single Maza.
4. Wanawake wengi kabla ya ndoa wapo so obedient to their hubby to be, wakisha olewa wanafungua makucha yao na kuonyesha jeuri zao ....hasa hasa wanawake wa Kikristo maana wanajua ndoa ni moja na hivyo akishafunga ndoa mwanaume hana jeuri ya kumuacha ....hapo wanawake wengi imewa-cost , wanaume wanasepa kama kawa na kwenda kuanza maisha na wanawake wengine na wao wanaendelea kuwa single Maza.
5. Selfish - wanawake wengi wenye kipato ni selfish...wapo radhi waanzishe miradi kimya kimya au kwa kushirikisha ndugu zao pasipo mume wake kujua na hii ni kwa sababu kuwa na roho za kiumaskini - cha mwanaume ni chake na cha mwanamke ni chake yeye na ndugu zake.
Malejendary ongezeeni sababu zingine hapo
Asante kwa suluhisho kuntu mkuu. Waziri Dkt. Gwajima D anakusikia.Uko sahihi kabisa kiongozi kwa sbb hizi. Hata anaetafuta suluhisho la nini kifanyike ili kupunguza janga la single mothers ni vizuri akarejelea sbb hizi. Naliita janga kwa sbb linaathiri Moja kwa Moja maadili na malezi ya watoto na hivyo taifa kupungukiwa na hazina ya viongozi wa kesho. Hivi karibuni zimetolewa takwimu kwamba divorce zinazoongoza ni zile za Wanawake walio kati ya miaka 25 -36, ambapo ndo umri kwa Sasa unaowasumbua sana akina mama kwa sababu ulizotaja hapa. Suluhisho waondokane na 50/50 ideology, wajiheshimu, waheshimu nafasi ya mwanaume ktk familia, wawe ni wenye subira ktk maisha, waheshimu maandiko ktk misahafu, serikali itake control ya kupitia idara zake za ustawi wa jamii na mahakama, kwani kwa Sasa mwanamke anaweza kutunga uongo tu akafile divorce na idara hizo zikatoa divorce hata akiwa peke yake with no apparent reasons/au sababu za kusadikika. Madhara ya single mothers siyo kwao zaidi Bali ni kwa hatima ya watoto na Taifa. Ni vizuri sana mamlaka za serikali zinazosimamia divorce zijithibitishie sababu zinazotolewa ili kutoa divorce. Lazima tujiulize au serikali ijiulize kwa nini Sasa hivi rate ya divorce imeongezeka? Then warudi kwenye sababu na namna ya ku-mitigate siyo tu kutupa takwimu without taking serious mitigation measures.....waziri Dorothy Gwajima apate maoni haya tafadhali.
Kuwa siriazi bro makanisa yazuiliwe kufanya huduma sababu ya single mazaKweli mkuu. Nilitaka kusema serikali ilazimishe madhehebu ya dini yafute kifungu kinachozuia wake wengi ili kuwezesha mwanaume mmoja kuona hata wanawake 4 kama ilivyo katika uislamu. Wenzetu waislamu wako vizuri katika hili.
Kama kuna dhehebu litakalokaidi agizo hili la serikali, basi lisisajiliwe kufanya shughuli zake hapa nchini. Hii itasaidia sana kupunguza tatizo la single mothers.
Mkuu soma vizuri uzi. Hakuna mahali ambapo uzi huu umewasimanga single mothers. Uzi umejikita kwenye kuwatetea na kuwafariji kutokana na mashambuzi wanayoshambaliwa na watu wasiowatakia mema.Walikwambia wanataka msaada? Na una msaada gani hasa ambao unaweza kuwapa kama siyo yale yale ya kuwabagaza na kuwasimanga tu?
Single mothers ndiyo kundi linaloongoza kwa kuandamwa na kusimangwa hapa JF. Tatizo hasa ni nini? Why so much hatred towards single mothers?
Thread 'Tusaidiane kuwainua single mothers kutokana na madhira wanayopitia' Tusaidiane kuwainua single mothers kutokana na madhira wanayopitiaNdugu wanaMMU, naingia kwenye mada moja kwa moja bila kuwachosha wala kuwapotezea muda.
Baada ya kuona idadi ya single mothers inazidi kuongezeka kila kukicha, nimeshawishika kufungua uzi maalumu kwa ajili yao ili kwa pamoja tuweze kutoa mawazo jinsi ya kuwasaidia na kuwashauri. Hii itasaidia kupunguza idadi ya single mothers na kuzuia wengine kutumbukia kwenye kundi hili.
View attachment 2967000
Tusiwaone kama losers, chicken-headed, stubborn, hot heads and all bad names you call them bali tuanze kuwapa ushauri wa kisaikolojia pamoja na kuwatia moyo. Sambamba na hilo, pia tuwape mbinu ya kutoka kwenye usingle mama ili kusudi waanze kuishi maisha ya kawaida kama wanawake wengine.
inasikitisha kuona baadhi ya wanawake nao wakiwasimanga hawa single mothers. Haipendezi hata kidogo. Waelewe kuwa nao wasipochukua hatua madhubiti, wanaweza kutumbukia kwenye usingle mothers wakati wowote.
Tunafahamu kuwa hili ni kundi la watu ambalo wengi wao wapo stressed na wamekata tamaa ya maisha baada ya kukimbiwa au kutendwa na wenza wao waliosababisha wafike hapa walipo. Kwa hiyo, tusiwanyanyapae wala kuwatenga kwa namna yoyote ile.
Naomba nisiseme sana. Kwa kuwa tupo wengi humu na kwa kuwa penye wengi hakiharibiki kitu, kila mwenye nia njema asogee hapa atoe ushauri namna ya kupunguza idadi yao na jinsi ya kuwazuia wanawake wengine wasitumbukie kwenye kundi hili.
Nawasilisha.
Hahahaaa unang'ata na kupuliza hapo hapo?Kauli mbiu ni moja; Mwanaume hatakiwi kuishi kwenye familia ya mwanaume mwengine, toka nenda kaanzishe yako.
single mother msijali, simps never mind.