Uzi maalumu kwa single mothers: Single Mothers Special Thread

Uzi maalumu kwa single mothers: Single Mothers Special Thread

Sababu za wanawake kuwa single Maza;

1. Kausha damu - anakuwa na mwanaume yeye anamgeuza kitega uchumi chake mwisho wa siku mwanaume anachoka na yeye anatumia may be kushika mimba unplanned au kuwa na mtoto ili iwe sababu ya kumkamata huyo mwanaume, mwisho wa siku mwanaume anasepa

2. Wanawake wengi walioajiriwa au kuwa na vibarua au biashara zinazowafanya wawe na kipato Cha kuwakimu kimaisha Wana tabia za kupandisha mabega juu na kujiona wapo successful na maisha na hali hiyo huwajengea kiburi na dharau kwa mwanaume aliye nae. WANAUME WENGI HAWAPENDI DHARAU HATA AMA MWANAMKE ATAKUWA MILIONEA MWANAUME ATASEPA....hapo mwanamke ataendelea kuwa single Maza tu

3. Kulingia uzuri.....unakuta mwanamke ameolewa yupo na familia yake lakini bado anaendekeza umalaya kisa kujiona yeye mzuri na anatongozwa na kila mwanaume. Hakuna mwanaume anavumilia kuishi na mwanamke anayetombeka hovyooo mwisho wa siku divorce na anaishia kuwa single Maza.

4. Wanawake wengi kabla ya ndoa wapo so obedient to their hubby to be, wakisha olewa wanafungua makucha yao na kuonyesha jeuri zao ....hasa hasa wanawake wa Kikristo maana wanajua ndoa ni moja na hivyo akishafunga ndoa mwanaume hana jeuri ya kumuacha ....hapo wanawake wengi imewa-cost , wanaume wanasepa kama kawa na kwenda kuanza maisha na wanawake wengine na wao wanaendelea kuwa single Maza.

5. Selfish - wanawake wengi wenye kipato ni selfish...wapo radhi waanzishe miradi kimya kimya au kwa kushirikisha ndugu zao pasipo mume wake kujua na hii ni kwa sababu kuwa na roho za kiumaskini - cha mwanaume ni chake na cha mwanamke ni chake yeye na ndugu zake.

Malejendary ongezeeni sababu zingine hapo
Kubwa kuliko zote ni mwanamke kupenda asipo pendwa na pale anapopendwa hapapend sasa akiliwa akipewa na mimba sababu jamaa linakuwa halimpend linamkibia , me siwasemi vibaya ila most of the time it is their fault. Wanawake wana obsession za ajabu sana muda mwingine. Anyways wasaidieni kimawazo
 
Asante mkuu umedadavua hii hoja kilegendary kabisa. Sasa unashauri nini kifanyike kupunguza au kutokomeza kabisa hili tatizo mkuu?
 
Wakishajulikana watawasaidiaje single mothers mkuu? Kwanini usishauri serikali ifumue sheria inayozuia mtu kuoa wake wengi ili wanaume wasaidie kuwaoa hao haosingle mothers kupunguza tatizo?
Serikali jaikuongilii katika maamuzi yako wewe hata kama ukioa wake kumi niwewe, serikali haina jukumu la kumpangia mtu aoe wanawake wangapi. Hiyo ipo chini ya dini
 
Mkuu tuache ngenga hakuna jipya la kushauriwa humu, yooote yashasemwa! Me natamani take ya Mheshimiwa kwenye picha si tunae ndani humu.. nimejaribu kum tag sijaona jina ila nshawahi kuona ka reply mtu humu
Mkuu unamaanisha Mh Dkt. Gwajima D ? Ni kweli tupo naye humu na amekuwa akitoa majibu na fafanuzi mbalimbali zenye tija kubwa.

Tumsubiri akipata nafasi atakuja kutoa neno lake tuone jinsi tunavyoweza kupunguza au kutokomeza tatizo hili linalozidi kuongezeka kila kukicha.

Bila shaka wizara yake itakuwa imefanya utafiti na kutoa ushauri how better to handle or eradicate this problem for good.
 
Serikali jaikuongilii katika maamuzi yako wewe hata kama ukioa wake kumi niwewe, serikali haina jukumu la kumpangia mtu aoe wanawake wangapi. Hiyo ipo chini ya dini
Kweli mkuu. Nilitaka kusema serikali ilazimishe madhehebu ya dini yafute kifungu kinachozuia wake wengi ili kuwezesha mwanaume mmoja kuona hata wanawake 4 kama ilivyo katika uislamu. Wenzetu waislamu wako vizuri katika hili.

Kama kuna dhehebu litakalokaidi agizo hili la serikali, basi lisisajiliwe kufanya shughuli zake hapa nchini. Hii itasaidia sana kupunguza tatizo la single mothers.
 
Walikwambia wanataka msaada? Na una msaada gani hasa ambao unaweza kuwapa? Au unataka kuwalazimisha wanaume waliowapa mimba kisha wakakimbia majukumu yao warudi na kufunga nao ndoa? Punguzeni kuingilia maisha ya watu bana kha!

Na nadhani single mothers ndiyo kundi linaloongoza kwa kuandamwa na kusimangwa hapa JF. Tatizo hasa ni nini? Why so much hatred towards single mothers?
Mkuu ndio maana nimeleta huu uzi maalumu ili tuangalie namna tunavyoweza kutoa ushauri utakaosaidia kutatua tatizo. Na kuwasaidia sio lazima uwape pesa bali hata ushauri wa mawazo unatosha.

Pia tuache kuwanyanyapaa na kuwakatisha tamaa ya maisha. Tukifanya hivi tutaokoa wengi.
 
Kubwa kuliko zote ni mwanamke kupenda asipo pendwa na pale anapopendwa hapapend sasa akiliwa akipewa na mimba sababu jamaa linakuwa halimpend linamkibia , me siwasemi vibaya ila most of the time it is their fault. Wanawake wana obsession za ajabu sana muda mwingine. Anyways wasaidieni kimawazo
Wazo zuri sana. Wewe unashauri tuwasaidieje sasa mkuu?
 
Kweli mkuu. Nilitaka kusema serikali ilazimishe madhehebu ya dini yafute kifungu kinachozuia wake wengi ili kuwezesha mwanaume mmoja kuona hata wanawake 4 kama ilivyo katika uislamu. Wenzetu waislamu wako vizuri katika hili.

Kama kuna dhehebu litakalokaidi agizo hili la serikali, basi lisisajiliwe kufanya shughuli zake hapa nchini. Hii itasaidia sana kupunguza tatizo la single mothers.
Vita itaibuka, serikali haina nguvu ya kuingilia taratibu za dini ni ngumu sana
 
Ndugu wanaMMU, naingia kwenye mada moja kwa moja bila kuwachosha wala kuwapotezea muda.

Baada ya kuona idadi ya single mothers inazidi kuongezeka kila kukicha, nimeshawishika kufungua uzi maalumu kwa ajili yao ili kwa pamoja tuweze kutoa mawazo jinsi ya kuwasaidia na kuwashauri. Hii itasaidia kupunguza idadi ya single mothers na kuzuia wengine kutumbukia kwenye kundi hili.
View attachment 2967000
Tusiwaone kama losers, lchicken-headed, stubborn, hot heads and all bad names you call them bali tuanze kuwapa ushauri wa kisaikolojia pamoja na kuwatia moyo. Sambamba na hilo, pia tuwape mbinu ya kutoka kwenye usingle mama ili kusudi waanze kuishi maisha ya kawaida kama wanawake wengine.

inasikitisha kuona baadhi ya wanawake nao wakiwasimanga hawa single mothers. Haipendezi hata kidogo. Waelewe kuwa nao wasipochukua hatua madhubiti, wanaweza kutumbukia kwenye usingle mothers wakati wowote.

Tunafahamu kuwa hili ni kundi la watu ambalo wengi wao wapo stressed na wamekata tamaa ya maisha baada ya kukimbiwa au kutendwa na wenza wao waliosababisha wafike hapa walipo. Kwa hiyo, tusiwanyanyapae wala kuwatenga kwa namna yoyote ile.

Naomba nisiseme sana. Kwa kuwa tupo wengi humu na kwa kuwa penye wengi hakiharibiki kitu, kila mwenye nia njema asogee hapa atoe ushauri namna ya kupunguza idadi yao na jinsi ya kuwazuia wanawake wengine wasitumbukie kwenye kundi hili.

Nawasilisha.
Tatizo wanawake wa sasa wana mifumo dume
Mwanamke anakuwa kiongozi wa familia wakati hata vitabu vya dini vimekataza. Zamani mambo hayo hayakuwepo kabisa Basi wajae tu mitaani wasipoacha udume
 
Walikwambia wanataka msaada? Na una msaada gani hasa ambao unaweza kuwapa kama siyo yale yale ya kuwabagaza na kuwasimanga tu?

Single mothers ndiyo kundi linaloongoza kwa kuandamwa na kusimangwa hapa JF. Tatizo hasa ni nini? Why so much hatred towards single mothers?
Hii Mimwanamke kwanza inadharau sana hata hakuna sababu ya kuwaonea huruma..
 
Back
Top Bottom