Uzi maalumu kwa single mothers: Single Mothers Special Thread

Uzi maalumu kwa single mothers: Single Mothers Special Thread

Huwajui vizuri single mothers,wengi wao ni wale waojiita wapambanaji,mafeminist,viburi na wapiga mizinga mwisho wakajikuta wako nje ya mfumo ndoa!!....japo wachache kweli ni wanaume kukimbia majukumu hao Mungu awasaidie na ikibidi nitaoa wawili watatu kupunguza idadi!
 
Kila mmoja anajua ni kwa nini typo hapo alipo na ili kumsaidia ni lazima ujue sababu iliyopelekea akajikuta yupo single mama.
 
Huwajui vizuri single mothers,wengi wao ni wale waojiita wapambanaji,mafeminist,viburi na wapiga mizinga mwisho wakajikuta wako nje ya mfumo ndoa!!....japo wachache kweli ni wanaume kukimbia majukumu hao Mungu awasaidie na ikibidi nitaoa wawili watatu kupunguza idadi!
Asante kwa mchango wako mkuu. Unaonaje serikali ikipindua sheria za makanisa zinazotuzuia kuoa wake wengi ili tuwaoe kwa wingi wasiendelee kuteseka?
 
Asante kwa mchango wako mkuu. Unaonaje serikali ikipindua sheria za makanisa zinazotuzuia kuoa wake wengi ili tuwaoe kwa wingi wasiendelee kuteseka?
mimi ni mkristo lakini huwa napinga mambo ya kufa na kuzikana....itoe mara moja huo ujinga maana ndo unatuletea michepuko na single mothers!
 
mimi ni mkristo lakini huwa napinga mambo ya kufa na kuzikana....itoe mara moja huo ujinga maana ndo unatuletea michepuko na single mothers!
Serikali ikiruhusu kila mwanaume aoe wanawake wanne,.tatizo la single mothers litabaki historia.

Au tuiombe serikali itoe bonus kwa kila mwanaume atakayeongeza mke kama wanavyofanya Eswatin. Tatizo litaisha kabisa.
 
hivi kuoa single maza ama kuoa tasa bora kipi? msaada kwenye tuta😝
 
hivi kuoa single maza ama kuoa tasa bora kipi? msaada kwenye tuta😝
Bora kuoa single mother kwa kuwa tayari ameishatestiwa mitambo na kugundulika ana uwezo wa kuzaa.
 
Kwahio Tasa hana haki ya kuolewa, si wewe mtetezi wa haki ??
Hilo la tasa umelitaja wewe lakini kila mwanamke single mother aba haki ya kuolewa na kutunzwa na mume wake. Mm ishu yangu iliiuwa inahusu single mothers tu mkuu
 
Tatizo wanawake wa sasa wana mifumo dume
Mwanamke anakuwa kiongozi wa familia wakati hata vitabu vya dini vimekataza. Zamani mambo hayo hayakuwepo kabisa Basi wajae tu mitaani wasipoacha udume
Sasa kama mwanamke amezalishwa na kukimbiwa akatelekezewa watoto nani atakuwa kiongozi wa familia kama sio mama?
 
Back
Top Bottom