Uzi maalumu kwa single mothers: Single Mothers Special Thread

Kubwa kuliko zote ni mwanamke kupenda asipo pendwa na pale anapopendwa hapapend sasa akiliwa akipewa na mimba sababu jamaa linakuwa halimpend linamkibia , me siwasemi vibaya ila most of the time it is their fault. Wanawake wana obsession za ajabu sana muda mwingine. Anyways wasaidieni kimawazo
 
Asante mkuu umedadavua hii hoja kilegendary kabisa. Sasa unashauri nini kifanyike kupunguza au kutokomeza kabisa hili tatizo mkuu?
 
Wakishajulikana watawasaidiaje single mothers mkuu? Kwanini usishauri serikali ifumue sheria inayozuia mtu kuoa wake wengi ili wanaume wasaidie kuwaoa hao haosingle mothers kupunguza tatizo?
Serikali jaikuongilii katika maamuzi yako wewe hata kama ukioa wake kumi niwewe, serikali haina jukumu la kumpangia mtu aoe wanawake wangapi. Hiyo ipo chini ya dini
 
Mkuu tuache ngenga hakuna jipya la kushauriwa humu, yooote yashasemwa! Me natamani take ya Mheshimiwa kwenye picha si tunae ndani humu.. nimejaribu kum tag sijaona jina ila nshawahi kuona ka reply mtu humu
Mkuu unamaanisha Mh Dkt. Gwajima D ? Ni kweli tupo naye humu na amekuwa akitoa majibu na fafanuzi mbalimbali zenye tija kubwa.

Tumsubiri akipata nafasi atakuja kutoa neno lake tuone jinsi tunavyoweza kupunguza au kutokomeza tatizo hili linalozidi kuongezeka kila kukicha.

Bila shaka wizara yake itakuwa imefanya utafiti na kutoa ushauri how better to handle or eradicate this problem for good.
 
single mother wengi hamna akili. Tafuteni akili kwanza.
Mkuu watake radhi aingle mothers. Na wale wanaume wanaowazalisha na kuwatelekeza unasemaje?
 
Serikali jaikuongilii katika maamuzi yako wewe hata kama ukioa wake kumi niwewe, serikali haina jukumu la kumpangia mtu aoe wanawake wangapi. Hiyo ipo chini ya dini
Kweli mkuu. Nilitaka kusema serikali ilazimishe madhehebu ya dini yafute kifungu kinachozuia wake wengi ili kuwezesha mwanaume mmoja kuona hata wanawake 4 kama ilivyo katika uislamu. Wenzetu waislamu wako vizuri katika hili.

Kama kuna dhehebu litakalokaidi agizo hili la serikali, basi lisisajiliwe kufanya shughuli zake hapa nchini. Hii itasaidia sana kupunguza tatizo la single mothers.
 
Mkuu ndio maana nimeleta huu uzi maalumu ili tuangalie namna tunavyoweza kutoa ushauri utakaosaidia kutatua tatizo. Na kuwasaidia sio lazima uwape pesa bali hata ushauri wa mawazo unatosha.

Pia tuache kuwanyanyapaa na kuwakatisha tamaa ya maisha. Tukifanya hivi tutaokoa wengi.
 
Wazo zuri sana. Wewe unashauri tuwasaidieje sasa mkuu?
 
Vita itaibuka, serikali haina nguvu ya kuingilia taratibu za dini ni ngumu sana
 
Tatizo wanawake wa sasa wana mifumo dume
Mwanamke anakuwa kiongozi wa familia wakati hata vitabu vya dini vimekataza. Zamani mambo hayo hayakuwepo kabisa Basi wajae tu mitaani wasipoacha udume
 
Hii Mimwanamke kwanza inadharau sana hata hakuna sababu ya kuwaonea huruma..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…