Asante kwa mchango wako mkuu. Unaonaje serikali ikipindua sheria za makanisa zinazotuzuia kuoa wake wengi ili tuwaoe kwa wingi wasiendelee kuteseka?Huwajui vizuri single mothers,wengi wao ni wale waojiita wapambanaji,mafeminist,viburi na wapiga mizinga mwisho wakajikuta wako nje ya mfumo ndoa!!....japo wachache kweli ni wanaume kukimbia majukumu hao Mungu awasaidie na ikibidi nitaoa wawili watatu kupunguza idadi!
mimi ni mkristo lakini huwa napinga mambo ya kufa na kuzikana....itoe mara moja huo ujinga maana ndo unatuletea michepuko na single mothers!Asante kwa mchango wako mkuu. Unaonaje serikali ikipindua sheria za makanisa zinazotuzuia kuoa wake wengi ili tuwaoe kwa wingi wasiendelee kuteseka?
mkuuLawama ziende kwa kataa ndoa
KwannUnawaonea
mkuu
Serikali ikiruhusu kila mwanaume aoe wanawake wanne,.tatizo la single mothers litabaki historia.mimi ni mkristo lakini huwa napinga mambo ya kufa na kuzikana....itoe mara moja huo ujinga maana ndo unatuletea michepuko na single mothers!
Kataa ndoa walaniweLawama ziende kwa kataa ndoa
Kabisa kina Intelligent businessmanKataa ndoa walaniwe
Kwahio Tasa hana haki ya kuolewa, si wewe mtetezi wa haki ??Bora kuoa single mother kwa kuwa tayari ameishatestiwa mitambo na kugundulika ana uwezo wa kuzaa.
Alaaniwe yeye, una pata wapi muda wa kundiss katibu mwenezi wa kataa ndoa ππKabisa kina Intelligent businessman
Sasa kama mwanamke amezalishwa na kukimbiwa akatelekezewa watoto nani atakuwa kiongozi wa familia kama sio mama?Tatizo wanawake wa sasa wana mifumo dume
Mwanamke anakuwa kiongozi wa familia wakati hata vitabu vya dini vimekataza. Zamani mambo hayo hayakuwepo kabisa Basi wajae tu mitaani wasipoacha udume
Nani kataa ndoa? Sipo chama chenu mkuuAlaaniwe yeye, una pata wapi muda wa kundiss katibu mwenezi wa kataa ndoa ππ