Uzi maalumu kwa single mothers: Single Mothers Special Thread

Uko sahihi kabisa kiongozi kwa sbb hizi. Hata anaetafuta suluhisho la nini kifanyike ili kupunguza janga la single mothers ni vizuri akarejelea sbb hizi. Naliita janga kwa sbb linaathiri Moja kwa Moja maadili na malezi ya watoto na hivyo taifa kupungukiwa na hazina ya viongozi wa kesho. Hivi karibuni zimetolewa takwimu kwamba divorce zinazoongoza ni zile za Wanawake walio kati ya miaka 25 -36, ambapo ndo umri kwa Sasa unaowasumbua sana akina mama kwa sababu ulizotaja hapa. Suluhisho waondokane na 50/50 ideology, wajiheshimu, waheshimu nafasi ya mwanaume ktk familia, wawe ni wenye subira ktk maisha, waheshimu maandiko ktk misahafu, serikali itake control ya kupitia idara zake za ustawi wa jamii na mahakama, kwani kwa Sasa mwanamke anaweza kutunga uongo tu akafile divorce na idara hizo zikatoa divorce hata akiwa peke yake with no apparent reasons/au sababu za kusadikika. Madhara ya single mothers siyo kwao zaidi Bali ni kwa hatima ya watoto na Taifa. Ni vizuri sana mamlaka za serikali zinazosimamia divorce zijithibitishie sababu zinazotolewa ili kutoa divorce. Lazima tujiulize au serikali ijiulize kwa nini Sasa hivi rate ya divorce imeongezeka? Then warudi kwenye sababu na namna ya ku-mitigate siyo tu kutupa takwimu without taking serious mitigation measures.....waziri Dorothy Gwajima apate maoni haya tafadhali.
 
Asante kwa suluhisho kuntu mkuu. Waziri Dkt. Gwajima D anakusikia.
 
Kuwa siriazi bro makanisa yazuiliwe kufanya huduma sababu ya single maza
 
Kuwa siriazi bro makanisa yazuiliwe kufanya huduma sababu ya single maza
Sio sababu ya single mother tu mkuu. Huu mpango ukifanikiwa, hata wanawake wengine ambao sio single mothers nao watanufaika.
 
Single mothers waheshimiwe, nao ni watu vilevile.
 
Hivi ni kwanini single mothers wanachukiwa na kila mtu kosa lao hasa ni lipi?
 
Mkuu soma vizuri uzi. Hakuna mahali ambapo uzi huu umewasimanga single mothers. Uzi umejikita kwenye kuwatetea na kuwafariji kutokana na mashambuzi wanayoshambaliwa na watu wasiowatakia mema.

Tunamuomba waziri wetu Mh Dkt. Gwajima D aendelee kutoa elimu kwa umma ili single mothers wasiendelee kudharauliwa na kubaguliwa ktk jamii.
 
Super-women naona mna jambo lenu. Mtatupa mrejesho, msipobadilika chama chetu kitaongeza wanachama maradufu.
 
Thread 'Tusaidiane kuwainua single mothers kutokana na madhira wanayopitia' Tusaidiane kuwainua single mothers kutokana na madhira wanayopitia
 
Kama heading inavyosema pigeni kura kwa wingi ili tupate njia hapa..

1,, Azalishwe tena watoto wengine ili akili imkae sawa.

2,,Alazamishwe arudi kwa Maex zàke..

Karibuni wadau kumbuka wale masimp, there is no room for mercy here.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…