Uzi maalumu kwa watu wenye UKIMWI

Uzi maalumu kwa watu wenye UKIMWI

Tukutane wote wenye virusi vya ukimwi na kuelezana ulijisikiaje ulipoambiwa kuwa una upungufu wa kinga mwilini?

Mimi nakumbuka ilikuwa 2020, mwezi wa 7 tarehe 17 nilipima katika hospitali moja ya mgodini, na kugundulika kuwa nina maambukizi, taarifa hiii ilikuwa mbaya sana kwangu ila baada ya hapo nilizoea na sasa naishi vyema kwa matumaini.

Twambie wewe mdau ulijisikiaje?

NB: Tutumie lugha safi yenye staha, tusibaguane wala kunyayapaana.

Akhsante.
Kwakweli mimi sipigi dem bila kumpima huo ndo utaratibu wangu
 
Kabisaaa, no helmet no travelling. Tatizo bodaboda hawaelewi wala kusikia. Mwisho wa siku wanaangamia.
Njia rahisi ya kuikwepa ngoma ni kugoma kupima , maana takwimu zinaonesha kila ukoo au familia kuna MTU ana ngoma Ila ukiwa mtaani kila kicheche anajiona ni mzima.




"HAKIKISHA UNAVAA HELMET KATIKA KILA BARABARA UNAYOPITA"
 
Back
Top Bottom