Uzi maalumu kwa watu wenye UKIMWI

Uzi maalumu kwa watu wenye UKIMWI

Huu ugonjwa Kwa Sasa mambo yamekuwa tofauti Mother angu alikufa Kwa ukimwi R.I.P mommy enzi hizo huko Dodoma kibaigwa msimu wa biashara ya mahindi
Back in my struggling nilijikuta nimezaa na mwanamke mwenywe ukimwi aiseee nilichanganyikiwa
Nioipima kama mara 10 hiv lakini hamna kitu mtoto alizawa poa Sana na mpaka Leo npo nae yupo darasa la 3
Nlisha achana na mamake na mm npo powa nimeowa na watoto wangu Kwa mwanamke mwingine
Take care yourselves and others
Ulikua mwenye bahati Sanaaa hongera Sana mkuu
 
Vip mlienda kupima wote au ulienda peke yako? Na kama ulienda peke yako ni hatua gani ulivhukua kwa mwenzako
Na je bado mko pamoja na mwezako?
Hatukwenda pamoja, yule mwanamke nilimpenda sana ila yeye hakuwa na upendo wowote kwangu, alijua khali yake, ila alifanya makudi, ameambukiza wengi na isingekuwa Mimi angeambukiza wengi zaidi, ila baada ya kumgundua nikamwambia ukweli kuwa TUMEPOTEZA but we can live happily tuoane, AKAKATAA, hivyo nilitangaza sana kwa watu wa pale kambini na vijana wengi walisalimika kwa kile nilichokifanya, japo yupo mmoja ndo alikuwa form six likizo, huyu aliambukizwa waziwazi. Iliniuma sana maana alikuwa kijana mdogo, natamani kungekuwa na sheria ya kuzuia hili, maana yule mwanamke alikuwa mtu mzma, ni aibu na huzuni sana kumfanyia vile yule dogo. Anyway baada ya watu kumsakama alijitundika. Hatunaye tena. RIP​
 
UZI WA OVYO NA WAKUOGOFYA KUANZA KUUSOMA MAPEMA YOTE HII.

Somo kubwa na zuri ila Kila comment inaogopeshaa


Ila ahsante mkuu kwa ku Share nasi Somo hili
 
Hatukwenda pamoja, yule mwanamke nilimpenda sana ila yeye hakuwa na upendo wowote kwangu, alijua khali yake, ila alifanya makudi, ameambukiza wengi na isingekuwa Mimi angeambukiza wengi zaidi, ila baada ya kumgundua nikamwambia ukweli kuwa TUMEPOTEZA but we can live happily tuoane, AKAKATAA, hivyo nilitangaza sana kwa watu wa pale kambini na vijana wengi walisalimika kwa kile nilichokifanya, japo yupo mmoja ndo alikuwa form six likizo, huyu aliambukizwa waziwazi. Iliniuma sana maana alikuwa kijana mdogo, natamani kungekuwa na sheria ya kuzuia hili, maana yule mwanamke alikuwa mtu mzma, ni aibu na huzuni sana kumfanyia vile yule dogo. Anyway baada ya watu kumsakama alijitundika. Hatunaye tena.​
Mkuu una upendo sana.
 
Back
Top Bottom