Uzi maalumu kwa watu wenye UKIMWI

Uzi maalumu kwa watu wenye UKIMWI

Kuna mambo yanayo lazimisha kupima mfano kuingia jeshini, kipindi naenda kuoa tulichukuliwa na wife na mchungaji tukaenda kupimwa isee ilikua HOFU kwa pande zote mbili Ila majibu yakawa powaa

Mkuu,
Umeandika vitu painful Sanaa alaf tangia nimepata ajar na kuvunjika mguu last three months now nipo na recovery
nimekua nasisimka napo sikia mateso ya mtu mwingine

Pole Sanaa for your loss
Mkuu huo mguu wamekukata au POP!!?

Pole sana man!!

Mi nasoma comments tu!Uzi ni WA moto balaa!!
 
Kuna mambo yanayo lazimisha kupima mfano kuingia jeshini, kipindi naenda kuoa tulichukuliwa na wife na mchungaji tukaenda kupimwa isee ilikua HOFU kwa pande zote mbili Ila majibu yakawa powaa

Mkuu,
Umeandika vitu painful Sanaa alaf tangia nimepata ajar na kuvunjika mguu last three months now nipo na recovery
nimekua nasisimka napo sikia mateso ya mtu mwingine

Pole Sanaa for your loss
Mkuu hapo jeshini mbona kama walikua wanapima blood group au ilikuaje an ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ
 
Mara ya mwisho kupima ilikua tar 2 June 2017 tulienda kupima wengi wengi, tulifanana majina Watu sita mm nikawa wa kwanza kuchukua majibu wakachanganya majina kiukwel nlitembea hospital zaidi ya sita kuhakiki maana Moja alikua positive kati yetu...nashukuru npo vzr
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Hi ni ukweli kabisa ila sasa mbona mkuu haupo serious
 
Hapana mkuu! Nina tatizo la kusumbuliwa na vitu vibaya au vya kusikitisha
Huwa siangalii movie za huzuni, sisikilizi story za kusikitisha nikifanya hivyo tu naweza kukaa hata wiki moyo na akili vinasikitika nakosa utulivu

Ndio moja ya dalili za upwiru hizo...

Tafuta namna ukamuliwe maji kiunoni kuruta...
 
Back
Top Bottom