Uzi maalumu kwa watu wenye UKIMWI

Uzi maalumu kwa watu wenye UKIMWI

nimekuja nipo lunch kidogo hapa wali mlenda. Ngoja nifute mdomo kwanza nisome. Alafu ndugu zangu Poor Brain na dronedrake mmepotea sana cjui mda shida gani msije kusingizia mkonga wa taifa huko baharini
Hapana mkuu ile challenge ya no fap daaah aiseee imefanya niwe adimu humu maana 😂😂😂😂😂🙌🙌🙌
 
Nakuonea huruma, natamani nisingefungua huu uzi hadi Kichwa kinaniuma sitaki kuendelea kuona
😂😂😂😂yesu alisema, msinililie mimi, jililieni ninyi, watoto wenu na waume zenu.

Ephen jihurumie wewe, kwa jinsi unavyoogopa, imagine ukiupata! Utawahi kufa mno kwa pressure mpaka virusi vyenyewe vitashangaa
 
Binafsi huu ugonjwa kamwe siwez upata...Narudia tena siwez upata..lakin kwa mlio nao sio ugonjwa wa kutisha kero kwenye kumeza dawa...usipate sukari...cancer au figo zifeli alafu dailisis ije...NB wagonjwa wote hapo nimeshawauguza kwa gharama zangu bila kuchangiwa au serikali kutia mchango wake....ikitokea nimecomment uzi wa mwana jamii forum yeyote tuheshimiane...na sio mwajiriwa mimi hata bima zenyewe kwenye hayo magonjwa zinadunda...nipo blw 33 years...na katika hao nilio wauguza mwenye ukimwi ndio yupo owk mpaka sasa tna na TB ilimpiga akawa wa kesho au masaa afariki..but ukimuona now...aisee kuwen makini
Umenena vyema kuna wagonjwa wa pressure wanakunywa dawa karibia kila siku, wagonjwa wa figo zilizofeli wanakunywa dawa kila siku yaani mateso bora hata mgonjwa wa ukimwi
 
Umenena vyema kuna wagonjwa wa pressure wanakunywa dawa karibia kila siku, wagonjwa wa figo zilizofeli wanakunywa dawa kila siku yaani mateso bora hata mgonjwa wa ukimwi
Ni kweli lakini pressure na figo vina heshima sana, ukimwi gonjwa la dharau mno, linaaibisha na kushangaza wala halizoeleki, kama unaweza kulikwepa liepuke tu.
 
Nachukua fursa hii kumshukuru ndg Poor Brain na dronedrake niwajuze kuwa UKIMWI ni Upungufu wa Kinga Mwilini ambapo kila mtu aliyezaliwa kwenye tumbo la mama anao. Yaani mtu yeyeto awaye kuugua hata mafua, malaria ni Upungufu wa Kinga Mwilini hivyo kila mtu ana UKIMWI

lakini kuna Virusi visababishavyo upungufu wa kinga mwilini. Hivi ni hatari yaani vikikushika kinga inaisha kabisa yaani ukishikwa mafua huponi kirahisi kwa maana ya kwamba kinga yako haiwezi kuongezeka bila ku-boost kwa ARV huwezi kupona mafua. Yaani utaharisha lakini bila kuboost kwa ARV huponi. Hivyo ndivyo virusi sasa.

narudi kwenye suala kupima duu kwa kweli unaweza ukagonga kavu halafu mapicha picha ya kaswende na uboo kutoboka kidonda mahali ni stress zinazoweza kukundesha.

ukipima wakati wa kupokea una-feel tense up ( msisimko na jasho pia vitu kukuchoma choma mwilini). Hivyo ndugu nikupe pole ukizingatia masharti na kupunguza stress wala hakuna atakayejua just chill out. Na epuka usimwambukize mwenzako kwa makusudi najua hamu ya kumbatano itakushika tu nyege shikamoooo.

kumbuka: Virusi vya ukimwi unaweza kuzaliwa navyo ama unaweza kupata kwa njia ya vitu vyenye ncha kali na sio kusex tu weka akilini kijana
 
Back
Top Bottom