Uzi maalumu kwa watu wenye UKIMWI

Uzi maalumu kwa watu wenye UKIMWI

Nachukua fursa hii kumshukuru ndg Poor Brain na dronedrake niwajuze kuwa UKIMWI ni Upungufu wa Kinga Mwilini ambapo kila mtu aliyezaliwa kwenye tumbo la mama anao. Yaani mtu yeyeto awaye kuugua hata mafua, malaria ni Upungufu wa Kinga Mwilini hivyo kila mtu ana UKIMWI

lakini kuna Virusi visababishavyo upungufu wa kinga mwilini. Hivi ni hatari yaani vikikushika kinga inaisha kabisa yaani ukishikwa mafua huponi kirahisi kwa maana ya kwamba kinga yako haiwezi kuongezeka bila ku-boost kwa ARV huwezi kupona mafua. Yaani utaharisha lakini kuboost kwa ARV huponi. Hivyo ndivyo virusi sasa.

narudi kwenye suala kupima duu kwa kweli unaweza ukigonga kavu halafu mapicha picha ya kaswende na uboo kutoboka kidonda mahali ni stress zinazoweza kukundesha.

ukipima wakati wa kupokea una-feel tense up ( msisimko na jasho pia vitu kukuchoma choma mwilini). Hivyo ndugu nikupe pole ukizingatia masharti na kupunguza stress wala hakuna atakayejua just chill out. Na epuka usimwambukize mwenzako kwa makusudi najua hamu ya kumbatano itakushika tu nyege shikamoooo.

kumbuka: Virusi vya ukimwi unaweza kuzaliwa navyo ama kwa njia ya vitu vyenye ncha kali ma kusex tu weka akilini kijana
Kila mtu ajilinde, hakuna wa kukulinda kama hujilindi
 
Swali kidogo nje
Tukutane wote wenye virusi vya ukimwi na kuelezana ulijisikiaje ulipoambiwa kuwa una upungufu wa kinga mwilini?

Mimi nakumbuka ilikuwa 2020, mwezi wa 7 tarehe 17 nilipima katika hospitali moja ya mgodini, na kugundulika kuwa nina maambukizi, taarifa hiii ilikuwa mbaya sana kwangu ila baada ya hapo nilizoea na sasa naishi vyema kwa matumaini.

Twambie wewe mdau ulijisikiaje?

NB: Tutumie lugha safi yenye staha, tusibaguane wala kunyayapaana.

Akhsante.
Nina swali kidogo mkuu, hivi ukianza doz ya ARV ndani ya mwaka huwezi tokea umeshau kumeza/kuchelewa kumeza? Na kama ukichelewa vipi kuhusu madhara? Maana nimemaliza doz ya PEP baada ya kuyakanyaga juzjuz ila kikweli nimekua nikipishana na mda sana sijui itakuaje ila najiula ni vipi kwa mgojwa kabisa kama mimi tu siku 28 imekua kazi kusastain muda je kwa mtu anayepiga doz siku zote zs mwaka je hua anafauru huo mtihani!
 
Nakujibu kwa swali
Je ukiwa na ukimwi unaweza sahau kama unao? Japo kwa dakika 5 tu?
 
Nachukua fursa hii kumshukuru ndg Poor Brain na dronedrake niwajuze kuwa UKIMWI ni Upungufu wa Kinga Mwilini ambapo kila mtu aliyezaliwa kwenye tumbo la mama anao. Yaani mtu yeyeto awaye kuugua hata mafua, malaria ni Upungufu wa Kinga Mwilini hivyo kila mtu ana UKIMWI

lakini kuna Virusi visababishavyo upungufu wa kinga mwilini. Hivi ni hatari yaani vikikushika kinga inaisha kabisa yaani ukishikwa mafua huponi kirahisi kwa maana ya kwamba kinga yako haiwezi kuongezeka bila ku-boost kwa ARV huwezi kupona mafua. Yaani utaharisha lakini kuboost kwa ARV huponi. Hivyo ndivyo virusi sasa.

narudi kwenye suala kupima duu kwa kweli unaweza ukigonga kavu halafu mapicha picha ya kaswende na uboo kutoboka kidonda mahali ni stress zinazoweza kukundesha.

ukipima wakati wa kupokea una-feel tense up ( msisimko na jasho pia vitu kukuchoma choma mwilini). Hivyo ndugu nikupe pole ukizingatia masharti na kupunguza stress wala hakuna atakayejua just chill out. Na epuka usimwambukize mwenzako kwa makusudi najua hamu ya kumbatano itakushika tu nyege shikamoooo.

kumbuka: Virusi vya ukimwi unaweza kuzaliwa navyo ama kwa njia ya vitu vyenye ncha kali ma kusex tu weka akilini kijana
Safii safi sana mkuu....
Wee mkuu una mambo sana ni vile tu unafanya challenge za ajabu ajabu 😂😂😂😂🙌🙌🙌
 
Swali kidogo nje

Nina swali kidogo mkuu, hivi ukianza doz ya ARV ndani ya mwaka huwezi tokea umeshau kumeza/kuchelewa kumeza? Na kama ukichelewa vipi kuhusu madhara? Maana nimemaliza doz ya PEP baada ya kuyakanyaga juzjuz ila kikweli nimekua nikipishana na mda sana sijui itakuaje ila najiula ni vipi kwa mgojwa kabisa kama mimi tu siku 28 imekua kazi kusastain muda je kwa mtu anayepiga doz siku zote zs mwaka je hua anafauru huo mtihani!
Ulipima baada ya kumaliza pep?
 
Back
Top Bottom