Uzi maalumu kwa watu wenye UKIMWI

Uzi maalumu kwa watu wenye UKIMWI

Kiukwel sitaman kupima ila najiona sipo salama coz ninedate na manzi ambae inasemekan ni muasilika kibaya zaid cjatumia condon pia niliingia chumvin zaid nilipokua nanyandua nae mechi ilivunjika round ya pili kwn mchezji mwengan alitoja dam nilipohoji alinijib jana alitoj kumalizia period nilipokiangalia kibamia kimetapakaa damu kiukwl sipo saw na sitamn kupima ata kidgo
 
KITAALAMU UKIMWI KUUPATA NI KAZI KUBWA SANA. YANI SEX YA KIBAO KIMOJA AU VIWILI VYA FASTA HUWEZI PATA UKIMWI.
KINACHOFANYA MTU APATE UKIMWI NI KUJIFANYA SHABABI KUSIMAMIA KUCHA DEM ANAKWAMBIA KASHAKAUA WEWE UNATAKA AKUONE MWAMBA UNAPAMPU TU MPKA MWISHO WA SIKU KICHUBUKO NA DAMILU JUU HAPO NDO UTAJUA HUJUI.

MIMI NAAMINI NIMEPITA NA MADEMU WENGI TU WENYE UKIMWI NA NILIWAPIGA PEKU KABISA.

WANASEMA PROBABILITY YA KUPATA UKIMWI NI 1/1000.

WADAU TUSIKAMIE SANA GAME KAMA DEMU HUJAMPIMA NA HUMUAMINI WEWE USIKAMIE PIGA ZAKO FAIR GAME TEMBEA.
 
Ilikuwa mwaka 2001 nilikuwa na mchumba wangu akawa anahitaji kunivalisha Pete mwenyewe alikuwa hajatulia na Mimi nilikuwa na kamsimamo Fulani hivyo akaona asinisumbue aendelee kula nje

Sasa bwana mazingira ya kazi yakanifanya nikajikuta nimeliwa na kijana mmoja wa hapo kazini ambaye muda mwingi tulikuwa tuko wote ofisini ndio alienitoa bikira. Huwa sipendi kabisa ule Uzi wa kula tunda kimasihara nililiwa kizembe sana.

Mchumba akataka tuweke mipango tuvalishane Pete nikasema iliyopo nikapime kwanza nikijikuta salama basi nimlazimishe naye akapime acha 😭😭😭kwanza. Nilienda kupima nikaambiwa niende baada ya wiki kipindi hicho nafikiri hata angaza ilikuwa haipo.

Baada ya wiki nikaenda 😭😭😭😭 yule mama sijui yupo baada ya yale maswali Yao akaniambia umeadhirika yasikia yasikufike nililia sana nikiangalia Sina CV ya wanaume kichwani nikaanza kuomba sala za mwisho mwisho😂😂😂

Yule mama akañiambia kama una Imani unaweza kupona Kuna watu nimewapima nikakuta wagonjwa ila baada ya kuombewa walipona.

Akaniagizia Kwa mchungaji mmoja yule mchungaji alinisaidia sana japo hata Leo nikimwona siwezi mkumbuka.

Mchungaji alianza kuniambia Jinsi yeye alivyokuwa ameadhirika mwili umeishia alikonda Kila akienda kupima anakuta Bado anao wakati mwingine analazwa hivyo akawa ni mtu wa maombi sana muda mwingi hata ibada ikishatoka yeye anabaki pale madhabahuni akimlilia Mungu. Siku moja akaenda akapima akakuta mzima kabisa akapima baada ya miezi mitatu tena akakuta mzima.

Basi akaniambia usimwambie mtu watu watakutia hofu, omba tu Mungu peke yako. Nilikuwa naomba nyie nilikuwa nalia na Mungu nikakataga mawasiliano na Mchumba nikawa Mimi na Mungu tu nikapima mara ya kwanza nikapata negative nikapimaga tena niko negative.

Ila jamani asikuambie mtu dalili zote unaziona kisa tu umeujua ukweli baada ya vipimo kuonekana Sina nikawa sawa kabisa.

Nikajaga kuolewa na mtu mwingine kabisa japo Mchumba hakuamini na aliyenikula sijuagi yuko wapi niko na familia yangu. Kupona kupo ila ujitoe hasa hasa
Wewe aliyekupima mara ya kwanza alijimix mwenyewe kitu huwa ni real Mzee unao unao hakuna maombi ya kukuponya UKIMWI
 
Kuna kaka mmoja tukipataga muda wa kuongea ananitania haya maswali

1. Luckyline hivi unavyo jitunza hivi wewe ni mwanamke wa aina gani?
2. Luckyline ni kwamba unaogopa wanaume au ni nini hasa?
3. Luckyline mbona mzuri tu au unabagua sana wanaume?
4. Sasa unavyojitunza hivi ikitokea ukapata mwanaume akakuambukiza ukimwi utafanya nini?

Jibu ni moja ninalompa, mimi nashukuru sikuzaliwa na ukimwi kama wengine wanavyoupata kwa kuzaliwa nao, sio kwamba naogopa wanaume mimi nina sababu.
Mungu mimi nimejinyima starehe zote za duniani, sijawahi fanya umalaya wa aina yeyote hapa duniani.

Kaka niliyempenda alipo niacha niliumia nililia nikajifungia ndani wiki mbili, nae sikuwahi fanya mapenzi nae bila kinga nae nishahidi hata akisoma hapa.

Maumivu yale niliyaugua miaka 2 na miezi 9, nikajaribu kwingine nae hatukufika mbali nilimuona sio muoaji, nae sikushiriki nae bila kinga.

Nikapata mwingine nakili ingawa nilimpenda kuliko wote ila sikuwahi kukutana nae live, siku napanga nimtembelee, nikagundua anaishi na mwanamke ndani ndo maana hakutaka nisafiri kwenda kwake.

In short sijawahi ingia mahusiano na mtu ambae naona hafai kuwa mme.

Wale wachache niliyo ingia nao mahusiano sijawahi kushiriki tendo bila kinga.
Kwa umri nilio nae nilitakiwa niwe na msululu wa wanaumwe nashukuru Mungu hata watano hawazidi na kati yao wengine hatukufika hiyo hatua.

Sio kwa mimi ni malaika au mwema hapana ninataka mwanaume wa kuishi nae, staki mwanaume wa kuniletea ukimwi na kuondoka.

Maisha yangu nimejinyima nimejihudummia mwenyewe, kipindi sina kazi niliangaika na biashara, hela niliyoipata nilijilipia kodi, wakati mwingine na mtaji unapungua dah, nilipitia kipindi kigumu, natongozwa naogopa kutoka out na mtu nikiogopa nikila pesa zake nalipa nini.
Kwangu ndani sina kitu chochote ambacho ni pesa ya mwanaume hakipo.

kalamu haiozi Mungu ni mwema kanipa kijikazi najihudumia sio kwamba staki kuhudumiwa, naogopa nikihudumiwa namlipa nini?
Maisha yangu yote niliishi nikiamini mm nitakuwa mke wa mtu na kamwe hili litatimia who know? May be soon!!

Wanaumwe wa siku hizi si waoaji akiona kama sisi ambao tunajitafutia basi anataka aje azalishe aondoke, staki hilo linitokee.
Point ni kwamba tamaa zimewaponza wadada kupata ukimwi, waume za watu wanatumia dozi linakupa hela linakuambukiza unaishi kwa stress.

Nina mifano mizuri marafiki zangu wengine ni wagonjwa nawaonea huruma.
Nimejitunza sana ukimwi siwezi kuunywa kwenye maji, huyo mwanaume nitakae ishi nae akiniambukiza ukimwi, hicho kisasi nitakachompa kitaumiza ukoo wake wote.
Maisha yangu yote nimejinyima starehe za mahusiano, kutendwa kumenifanya nichukie wanaume wa kiafrica.

Mungu naomba uendelee kunilinda usije nipa mwanaume akaniltea ukimwi, maana mimi siwezi kuutafuta hiyo haiwezekani mpaka hapa nilipofikia.

Mdada au mkaka utakae soma hapa, acha tamaa ukimwi ni mbaya, ingawabkuna magonjwa makali kuliko hata ukimwi, fanyan kazi pata hela zako usitegemee hela ya mtu, hela ya mtu ni majuto itakupeleka kaburini.

Umwa magonjwa mengine ila sio ukimwi wa kijitafutia.

Nyie wakaka usimuamini mwanamke kufanya nae mapenzi bila kinga, utakatisha ndoto zako, wanawake wenzangu wana tamaa, wanamiliki wanaume 4 kwa mkupuo, hamko salama kaka zangu.
Mungu wape faraja wote walio pata ukimwi kwa kuwaamini wenza wao.

Kaka dada linda sana afya yako vile vidonge vya kumeza sila siku vinatesa vinaweza kukuletea any side effect mbaya, mifano ninayo mingi sana.

N.b sitafuti mwanaume humu coz am done with african men, huu uzi umenigusa, maisha yangu niligopa mahusiano moja wapo ikiwa ni kuogopa kupata ukimwi na kunifanya single mom.

Hata hao wachache nilio ingia nao mahusiano wengine hatukufika mbali maana hawakutaka kinga nikajiondoa nashukuru wengine walikuwa ni waelewa.

Mungu ni mwaminifu nina historia ya kipekee ya mahusiano. Hizi starehe ni za hapa duniani bora niwe salama.

Dada kaka ishi ndoto zako ukimuomba Mungu.

dada fanye mazoezi kula vizuri, kunywa maji mengi, penda ngozi yako,punguza vitu vyenye sukari, jali mwili wako usizeeke mapema sawa?
Ni kisasi gani hicho ambacho ukoo mzima hautasahau
 
Wewe aliyekupima mara ya kwanza alijimix mwenyewe kitu huwa ni real Mzee unao unao hakuna maombi ya kukuponya UKIMWI
Mkuu,
Hii scenario Ni Kama Ile ya JPM kupima mapapai,oil na kukutwa na Corona
Wakati mwingine hizo testing kit zinaweza kua na matatizo ndio maana baada ya kugundua una maambukizi Kuna kipimo Cha ku confirm kinaitwa HIV TEST UNGOLD
Screenshot_20240508-184819.png
 
Nakujibu kwa swali
Je ukiwa na ukimwi unaweza sahau kama unao? Japo kwa dakika 5 tu?
Binafsi nina tatizo la kusau kama juz ilitokea shot kazini kwangu moto ukawaka nikapigiwa simu nilitoka bila kitu nikashinda huko nishalala usiku kabisa ndo nakumbuka sijaywa doz ila richa ya ivo hua nina tatizo ilo hata kwenye vitu muhimu sana so ndo maama najiuliza ni vipi kwa mtumiaji wa mwaka mzima haiwez yokea siku na siku akasahau.
 
Ilikuwa mwaka 2001 nilikuwa na mchumba wangu akawa anahitaji kunivalisha Pete mwenyewe alikuwa hajatulia na Mimi nilikuwa na kamsimamo Fulani hivyo akaona asinisumbue aendelee kula nje

Sasa bwana mazingira ya kazi yakanifanya nikajikuta nimeliwa na kijana mmoja wa hapo kazini ambaye muda mwingi tulikuwa tuko wote ofisini ndio alienitoa bikira. Huwa sipendi kabisa ule Uzi wa kula tunda kimasihara nililiwa kizembe sana.

Mchumba akataka tuweke mipango tuvalishane Pete nikasema iliyopo nikapime kwanza nikijikuta salama basi nimlazimishe naye akapime acha 😭😭😭kwanza. Nilienda kupima nikaambiwa niende baada ya wiki kipindi hicho nafikiri hata angaza ilikuwa haipo.

Baada ya wiki nikaenda 😭😭😭😭 yule mama sijui yupo baada ya yale maswali Yao akaniambia umeadhirika yasikia yasikufike nililia sana nikiangalia Sina CV ya wanaume kichwani nikaanza kuomba sala za mwisho mwisho😂😂😂

Yule mama akañiambia kama una Imani unaweza kupona Kuna watu nimewapima nikakuta wagonjwa ila baada ya kuombewa walipona.

Akaniagizia Kwa mchungaji mmoja yule mchungaji alinisaidia sana japo hata Leo nikimwona siwezi mkumbuka.

Mchungaji alianza kuniambia Jinsi yeye alivyokuwa ameadhirika mwili umeishia alikonda Kila akienda kupima anakuta Bado anao wakati mwingine analazwa hivyo akawa ni mtu wa maombi sana muda mwingi hata ibada ikishatoka yeye anabaki pale madhabahuni akimlilia Mungu. Siku moja akaenda akapima akakuta mzima kabisa akapima baada ya miezi mitatu tena akakuta mzima.

Basi akaniambia usimwambie mtu watu watakutia hofu, omba tu Mungu peke yako. Nilikuwa naomba nyie nilikuwa nalia na Mungu nikakataga mawasiliano na Mchumba nikawa Mimi na Mungu tu nikapima mara ya kwanza nikapata negative nikapimaga tena niko negative.

Ila jamani asikuambie mtu dalili zote unaziona kisa tu umeujua ukweli baada ya vipimo kuonekana Sina nikawa sawa kabisa.

Nikajaga kuolewa na mtu mwingine kabisa japo Mchumba hakuamini na aliyenikula sijuagi yuko wapi niko na familia yangu. Kupona kupo ila ujitoe hasa hasa

Ila wanawake😊👇

"...Mimi nilikuwa na kamsimamo Fulani hivyo akaona asinisumbue aendelee kula nje.

Sasa bwana mazingira ya kazi yakanifanya nikajikuta nimeliwa na kijana mmoja wa hapo kazini ambaye muda mwingi tulikuwa tuko wote ofisini ndio alienitoa bikira."
 
Kuna kaka mmoja tukipataga muda wa kuongea ananitania haya maswali

1. Luckyline hivi unavyo jitunza hivi wewe ni mwanamke wa aina gani?
2. Luckyline ni kwamba unaogopa wanaume au ni nini hasa?
3. Luckyline mbona mzuri tu au unabagua sana wanaume?
4. Sasa unavyojitunza hivi ikitokea ukapata mwanaume akakuambukiza ukimwi utafanya nini?

Jibu ni moja ninalompa, mimi nashukuru sikuzaliwa na ukimwi kama wengine wanavyoupata kwa kuzaliwa nao, sio kwamba naogopa wanaume mimi nina sababu.
Mungu mimi nimejinyima starehe zote za duniani, sijawahi fanya umalaya wa aina yeyote hapa duniani.

Kaka niliyempenda alipo niacha niliumia nililia nikajifungia ndani wiki mbili, nae sikuwahi fanya mapenzi nae bila kinga nae nishahidi hata akisoma hapa.

Maumivu yale niliyaugua miaka 2 na miezi 9, nikajaribu kwingine nae hatukufika mbali nilimuona sio muoaji, nae sikushiriki nae bila kinga.

Nikapata mwingine nakili ingawa nilimpenda kuliko wote ila sikuwahi kukutana nae live, siku napanga nimtembelee, nikagundua anaishi na mwanamke ndani ndo maana hakutaka nisafiri kwenda kwake.

In short sijawahi ingia mahusiano na mtu ambae naona hafai kuwa mme.

Wale wachache niliyo ingia nao mahusiano sijawahi kushiriki tendo bila kinga.
Kwa umri nilio nae nilitakiwa niwe na msululu wa wanaumwe nashukuru Mungu hata watano hawazidi na kati yao wengine hatukufika hiyo hatua.

Sio kwa mimi ni malaika au mwema hapana ninataka mwanaume wa kuishi nae, staki mwanaume wa kuniletea ukimwi na kuondoka.

Maisha yangu nimejinyima nimejihudummia mwenyewe, kipindi sina kazi niliangaika na biashara, hela niliyoipata nilijilipia kodi, wakati mwingine na mtaji unapungua dah, nilipitia kipindi kigumu, natongozwa naogopa kutoka out na mtu nikiogopa nikila pesa zake nalipa nini.
Kwangu ndani sina kitu chochote ambacho ni pesa ya mwanaume hakipo.

kalamu haiozi Mungu ni mwema kanipa kijikazi najihudumia sio kwamba staki kuhudumiwa, naogopa nikihudumiwa namlipa nini?
Maisha yangu yote niliishi nikiamini mm nitakuwa mke wa mtu na kamwe hili litatimia who know? May be soon!!

Wanaumwe wa siku hizi si waoaji akiona kama sisi ambao tunajitafutia basi anataka aje azalishe aondoke, staki hilo linitokee.
Point ni kwamba tamaa zimewaponza wadada kupata ukimwi, waume za watu wanatumia dozi linakupa hela linakuambukiza unaishi kwa stress.

Nina mifano mizuri marafiki zangu wengine ni wagonjwa nawaonea huruma.
Nimejitunza sana ukimwi siwezi kuunywa kwenye maji, huyo mwanaume nitakae ishi nae akiniambukiza ukimwi, hicho kisasi nitakachompa kitaumiza ukoo wake wote.
Maisha yangu yote nimejinyima starehe za mahusiano, kutendwa kumenifanya nichukie wanaume wa kiafrica.

Mungu naomba uendelee kunilinda usije nipa mwanaume akaniltea ukimwi, maana mimi siwezi kuutafuta hiyo haiwezekani mpaka hapa nilipofikia.

Mdada au mkaka utakae soma hapa, acha tamaa ukimwi ni mbaya, ingawabkuna magonjwa makali kuliko hata ukimwi, fanyan kazi pata hela zako usitegemee hela ya mtu, hela ya mtu ni majuto itakupeleka kaburini.

Umwa magonjwa mengine ila sio ukimwi wa kijitafutia.

Nyie wakaka usimuamini mwanamke kufanya nae mapenzi bila kinga, utakatisha ndoto zako, wanawake wenzangu wana tamaa, wanamiliki wanaume 4 kwa mkupuo, hamko salama kaka zangu.
Mungu wape faraja wote walio pata ukimwi kwa kuwaamini wenza wao.

Kaka dada linda sana afya yako vile vidonge vya kumeza sila siku vinatesa vinaweza kukuletea any side effect mbaya, mifano ninayo mingi sana.

N.b sitafuti mwanaume humu coz am done with african men, huu uzi umenigusa, maisha yangu niligopa mahusiano moja wapo ikiwa ni kuogopa kupata ukimwi na kunifanya single mom.

Hata hao wachache nilio ingia nao mahusiano wengine hatukufika mbali maana hawakutaka kinga nikajiondoa nashukuru wengine walikuwa ni waelewa.

Mungu ni mwaminifu nina historia ya kipekee ya mahusiano. Hizi starehe ni za hapa duniani bora niwe salama.

Dada kaka ishi ndoto zako ukimuomba Mungu.

dada fanye mazoezi kula vizuri, kunywa maji mengi, penda ngozi yako,punguza vitu vyenye sukari, jali mwili wako usizeeke mapema sawa?
Hii ID yako imekuwepo humu jukwaani kwa muda mrefu naionagaga

Umeandika kwa hisia Sana a point to note wewe Kama mwanamke inaitaji either MWANAUME wakukuongoza ama hata MTOTO mmojaa...

Wanaume wazuri wa kuanzisha nao familia Mbona wapo wengi TU Tena wanyoofu na very respectful nyinyi hamuwaoni au hamna bahati nao nashukuru Mimi Ni mmoja wao na nipo kwenye ndoa..

All in all fanya fanya upate MWANAUME wa Maisha yako punguza uoga sister sawa
 
Hii ishu ya ukimwi isikie tu kwa mwenzio, wakati fulani nilikuwa mkoani kikazi nikaanzisha uhusiano na bint mmoja ambaye alikuwa mwenyeji katika mkoa huo, nilidumu nae kwa takribani miaka miwili nikaja kutonywa na mama mmoja mama ntilie kwamba huyo demu ameathirika, alinistua moyo kiukweli nikasema ngoja nitafute ukweli,, kwa bahati yule mwanamke alikuwa hajisikii vizuri kwa wakati huo na akahisi labda alikuwa na malaria nikaona nitumie chansi hiyo, nilichofanya ni kumpeleka hospital ambayo kulikuwa na dokta ambayo nafahamiana nae nikampanga kila kitu yule dokta, alichofanya ni kuchukua damu ya yule mwanamke kwa ajili ya kupima malaria na HIV bila ya yeye mwenyew kujua aisee Majibu yalipotoka alikuwa hiv positive, ila yeye alipata Majibu ya malaria tu. Nilirudi kesho yake kwa ajili ya kupima nikajikuta nipo negative,, nimeendelea kuwa negative hata sasa nimeachana na huyo mwanamke maisha yanaendelea. Ukimwi upo tuchukue tahadhari na kwa waathirika tumeze dawa.
 
Back
Top Bottom