Uzi maalumu kwa watu wenye UKIMWI

Njia rahisi ya kuikwepa ngoma ni kugoma kupima , maana takwimu zinaonesha kila ukoo au familia kuna MTU ana ngoma Ila ukiwa mtaani kila kicheche anajiona ni mzima.




"HAKIKISHA UNAVAA HELMET KATIKA KILA BARABARA UNAYOPITA"
Ushauri wa kugoma kupima ni destructive, mtu mwenye VVU asiyepima, ataendelea kuambukiza wengine, mtu aliyepima na akatumia dawa vizuri, hawezi kuambukiza hata asipovaa kondomu.
 
Nimesisimuka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…