Uzi maalumu kwa watu wenye UKIMWI

Ni ngumu sana, hata ukisahau haitopishana nusu saa au one hour
 
Sidhani kama kuna wagonjwa wengi wa VVU humu.
Sahivi ni mambo ya kawaida Duniani. Ila pia kwa jf na Tanzania wengi watajitokeza hapa ni wanawake na hawawezi fika watano wakajitaja.
Yeah hutakiwi kumpima mtu kwa kumwangalia kwa macho
 
Mkuu unaishauri nin serikali ili kupunguza maambukizi...
Mi nashauri mpigwe chapa takoni ili mtu akiiona anaacha...ushauri tu lkn
Kitu pekee ni kuacha kuleta dawa, ili waathirika wote watoweke maisha yaanze upya. Hivihivi halitaisha hili janga. Na ikiwa hivi usishangae kwenye ukoo wenu mnabaki wa3.
 
NILITUNGA HILI SHAIRI BAADA YA KUFANYAGA MAPENZI NA MWANAMKE MWENYE HIV . MWANZO NILIAMINI SIJAPATA BILA KUPIMA ILA BAADAE NILIANZA KUUMWA VIGONJWA VISIVYOELEWEKA YANI MWILI ULINICHEZEA AKILI NILIKONDA NILICHOKA SANA
NIKAAMINI TAYARI MPAKA NIKAENDA NIKITAKA NIPEWE DAWA TU NI SEPE WAKAGOMA KUNIPA MPAKA WAPIME NILIKUBALI WANIPIME NIKIWAAMBIA WANAPOTEZA MUDA BURE . NILIPIMWA ZAIDI YA MARA TATU HAPO NI ZAIDI YA MIEZI SITA TOKEA MARA YA MWISHO KUKUTANA NAE HUWEZI KUAMINI SIKUWA MWATHIRIKA WA HIV . KUNA AHADI NYINGI NILIMPA MUNGU KABLA YA KUELEKEA KUPIMA NAAMINI NDIO MUUJIZA ULIOTOKEA

BURIANI

Buriani waungwana, limenipata dubwana,
Mapema tunaagana, Ningali bado kijana,
Maumivu yanibana, kuandika nangangana,
Buriani waungwana, limenipata dubwana,

Sina wa kumpa lawama, hata Zerea kimwana,
Akijua sana vyema, kalizoa Dubwana,
Kama na kosa kusema, nisamehe tu Rabana
Buriani waungwana , limenipata dubwana,

Simanzi imenitanda, Giza ti likitanda,
Siwezi tena kutenda, siku nzima tu kulala
Nimechoka nimekonda, nipumzike ndio sala
Buriani waungwana , limenipata Dubwana

Malengo yamezimika, kama nta yayeyuka,
Sijui kama ntafika, hata kesho kunyanyuka,
Tumaini lakatika , kiama kinanifika,
Buriani waungwana, limenipata dubwana

Kama vile mnaniona, mwovu kupita kipimo
Ajuae ni Rabana, kwake nafanya ungamo
Nazidi kuchoka sana, niondoke tu nilimo
Buriani waungwana, limenipata dubwana

Kwaherini Marafiki, wangu wa nema na dhiki,
Hata wale wanafiki, chekeni sasa mna haki
Dubwana hakabiliki, kifo hakiepukiki,
Buriani waungwana, limenipata dubwana

Wazazi na ndugu zangu, musiwe na mfadhaiko
Ni mapenzi yake Mungu, hakunalo badiliko,
Pokeeni tu japo chungu, kwake nipate pumziko
Buriani waungwana, limenipata Dubwana,

Kwaherini Duniani, Tuonane bandarini,
Kwaherini jamiini, na hata kule Twitani,
Na kote mitandaoni, niwaage kwa amani
Buriani waungwana, Tutaonana baadae


 
Kitu pekee ni kuacha kuleta dawa, ili waathirika wote watoweke maisha yaanze upya. Hivihivi halitaisha hili janga. Na ikiwa hivi usishangae kwenye ukoo wenu mnabaki wa3.
Kweli nimezika wengi lakin wao hawakutaka kumeza dawa waliamin wamerogwa...wa mwisho alienda mpk kwa mwamposa lkn akafa january tu apo
 
Wa
Mkuu! Mungu atulinde tu
Hakuna aliye salama kwenye huu ugonjwa kwa 100%
Kesho pandisha uzi mwingine ili huu usitrend
Wacha kwanza niwape vijana elimu, wakae kijanja, hapa ni duniani sio mbinguni. The devil is still alive.πŸ‘ΏπŸ˜ˆ
 
Kitu kinachoitwa UKIMWI au VVU hakiambukizwi kwa NGONO.

Haya ni maradhi yanayotokana na mifumo ya mwili kudhurika kwa sababu ya vitu fulani fulani.

Ndio maana unaweza kulala na mwenye UKIMWI / VVU ukalishika tumbua lake na kulinyandua hovyo hovyo tena kihuni lakini ukatoka ukiwa salama salimini.

Kitu pekee unachoweza kuambukizwa hapo ni GONOREA tu na SYPHILIS.

Hii ni elimu ya watu wachache sana. Nimekuibia siri tu.

Cc Lamomy NAMBA MOJA AJAYE NCHINI DR Mambo Jambo dronedrake Poor Brain mshamba_hachekwi

Nyie majasusi akina NAMBA MOJA AJAYE NCHINI mnatakiwa kuwasaidia hawa watu. Huu ndo uwanja wenu wa kutegua hivi vitanzi vya kijasusi.
 
M
Kwann ulikua unadate na watoto under 18 πŸ€”πŸ€” vipi Binti yako akitendewa haya ???

Mungu aipumzishe roho yake mahali pema pepon
 
Wa

Wacha kwanza niwape vijana elimu, wakae kijanja, hapa ni duniani sio mbinguni. The devil is still alive.πŸ‘ΏπŸ˜ˆ
Ila mkuu! una moyo mkuu na mzuri
Mwingine asingejisumbua kupandisha uzi zaidi angezama pm kukusanya mbususu

Namuomba Mungu azidi kukupa afya njema na mafanikio zaidi, wewe najua unapenda magari basi ununue mengi sana tena ya gharama

Mimi nitajitahidi kutunza afya na Mungu anisaidie!
 
Kweli nimezika wengi lakin wao hawakutaka kumeza dawa waliamin wamerogwa...wa mwisho alienda mpk kwa mwamposa lkn akafa january tu apo
Hii dawa naonaga kama ni soko la wazungu, kama korona ilivyoua watu then ikapotelea mbali, ukimwi pia ungefanywa hivohivo. Kuleta dawa ni kutafuta masoko tu na kufanya biashara
 
InshallahπŸ™πŸ™πŸ™ ukiniona huwezi fikiria... Bado nna mda mrefu sana wa kuishi na siwezi kufa kwa VVU
 
Hii dawa naonaga kama ni soko la wazungu, kama korona ilivyoua watu then ikapotelea mbali, ukimwi pia ungefanywa hivohivo. Kuleta dawa ni kutafuta masoko tu na kufanya biashara
Ila dawa inasaidia saidia kusukuma siku za kuandika wosia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…