Uzi maalumu kwa watu wenye UKIMWI

Uzi maalumu kwa watu wenye UKIMWI

Stasahau siku nmempeleka mke wangu clinic, niliznguana na Dr kila nikimuulza kwani kupma ni lazma na yy anajibu siyo lazma lkn ni mhimu, mwisho wa siku aliniweza lkn Kwa mda wote tunasubri majibu nilkuwa natokwa jasho huku mke wangu akinishangaa nilvokuwa namwaminisha sichepuki Kwa sababu sikaagi naye. Mungu mwema tukaitwa majibu yakawa shwari but mtihani ukanirudia tena mm kumwaminisha kama schepki! Dah UKIMWI unahofu ya kutisha wakuu.
Hatariii sana
 
MUNGU NAE HUU UGONJWA KAUWEKA SEHEMU AMBAYO DAH.,,,SI ANGEWEKA TU HATA KWENYE POMBE TUSINGEKUNYWA KAMWE.,,,MUDA MWINGINE TUKUBALIANE TU KWAMBA KABURI NDILO LITAKALO AMUA..
 
halafu migodini haijawahi kutajwa kuwa kuna maambukizi makubwa, walitaja madreva malori malori tu huko barabarani. Siku hizi kampeni za kupima kwa hiari zimepungua huenda maambukizi yapo juu sehemu nyingi licha kuwepo kwa dawa za kufubaza
Bila shaka mkuu, gonjwa hili hivi sasa halina kampeni kama zamani.

Zamani pamoja na kua hakukua na mitandao ya kijamii kama ilivyo sasa ila watu habari ya Ukimwi waliipata vyema.
Siku hizi pamoja na kua mitandao ya kijamii kedekede jamii haina uelewa wa kutosha.
 
MUNGU NAE HUU UGONJWA KAUWEKA SEHEMU AMBAYO DAH.,,,SI ANGEWEKA TU HATA KWENYE POMBE TUSINGEKUNYWA KAMWE.,,,MUDA MWINGINE TUKUBALIANE TU KWAMBA KABURI NDILO LITAKALO AMUA..
Bora kauweka huko, achana na pombe kijana, hiyo ni kitu exceptional
 
Tuendelee kumuomba Mungu atupe afya njema kaka..!
Hilo ndio kubwa na la msingi. Kuna mambo mengi sana beyond our normal eyes na ni Mungu tu anajua. Ukifikiria hiv utajikuta huna sababu ya kutamba zaid ya kuwa mnyenyekevu
 
Hilo ndio kubwa na la msingi. Kuna mambo mengi sana beyond our normal eyes na ni Mungu tu anajua. Ukifikiria hiv utajikuta huna sababu ya kutamba zaid ya kuwa mnyenyekevu
Umenena vyema kaka, tunatakiwa kuwa wanyenyekevu sababu duniani tunapita tujiepushe na ubaya moyoni mwetu
Tuwape watu mema.
 
Back
Top Bottom