Mwanamke wa mithali 31
JF-Expert Member
- Apr 10, 2024
- 1,159
- 2,577
Upo blw 33 unapata wapi nguvu ya kuongea hivyo kwasababu ukimwi hauambukizwi kwa ngono tuBinafsi huu ugonjwa kamwe siwez upata...Narudia tena siwez upata..lakin kwa mlio nao sio ugonjwa wa kutisha kero kwenye kumeza dawa...usipate sukari...cancer au figo zifeli alafu dailisis ije...NB wagonjwa wote hapo nimeshawauguza kwa gharama zangu bila kuchangiwa au serikali kutia mchango wake....ikitokea nimecomment uzi wa mwana jamii forum yeyote tuheshimiane...na sio mwajiriwa mimi hata bima zenyewe kwenye hayo magonjwa zinadunda...nipo blw 33 years...na katika hao nilio wauguza mwenye ukimwi ndio yupo owk mpaka sasa tna na TB ilimpiga akawa wa kesho au masaa afariki..but ukimuona now...aisee kuwen makini
Kuna ajali na vingine vingi