Uzi maalumu kwa watu wenye UKIMWI

Upo blw 33 unapata wapi nguvu ya kuongea hivyo kwasababu ukimwi hauambukizwi kwa ngono tu

Kuna ajali na vingine vingi
 
Hii dawa naonaga kama ni soko la wazungu, kama korona ilivyoua watu then ikapotelea mbali, ukimwi pia ungefanywa hivohivo. Kuleta dawa ni kutafuta masoko tu na kufanya biashara
Kijana unatakiwa umakinike.

Tena nashukuru umeuleta huu uzi ili nikuokoe kwenye janga la ujinga na dhahama ya kifo inayokunyemelea kwa kukosa maarifa machache tu.

Hapa ninapoandika hii comment, ungechukua hizo ARV ukazitupa chooni mara moja as a matter of urgency.

Sijui kama nimetumia maneno magumu au mepesi, lakini sina budi kwa sababu ukiona mtu amepima UKIMWI na akaanza kubugia ARV kichwa changu kinaniambia huyo mtu ana wingu zito sana kichwani na anahitaji lugha nzito na msasa wenye makali kufuta yale mauji uji kichwani.

For the mean time, chukua hayo madonge katupe chooni.

Hii ni FIRST AID nakupa. An INTELLECTUAL FIRST AID.

AIONE KWENYE JALADA: dronedrake Extrovert Poor Brain NAMBA MOJA AJAYE NCHINI
 
Reactions: Tsh
Mdogo Angu hiki kizungu umezaliwa nacho au umejifunza shuleni?
 
Akhsante sana mdogo Angu๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™ ila sijaanzisha kwa ajili ya kupewa pole na hongera, ni kushare tu experience, au jf hakuna wenye VVU
Don't show sympathy to him. It's normal pia utamfanya saikolojikali kuanzia kujiona kuwa ana hatia ama ni magonjwa. A
Wakati Kila mtu ni magonjwa. Waza mwenye Figo anafanyiwa usafi Kila wiki,Kuna ini ,kansa,Kuna watu Wana matende,busha, mental attitude disease,mental disease.
Kuna watu wanaingia chooni za uma huku hawana miguu Ila kwa kutembelea mikono.
Kuna watu wanasafa more than
 
Yeah! Sure!๐Ÿ’ช๐Ÿ’ช
 
Unasemaje ?????
 
Stasahau siku nmempeleka mke wangu clinic, niliznguana na Dr kila nikimuulza kwani kupma ni lazma na yy anajibu siyo lazma lkn ni mhimu, mwisho wa siku aliniweza lkn Kwa mda wote tunasubri majibu nilkuwa natokwa jasho huku mke wangu akinishangaa nilvokuwa namwaminisha sichepuki Kwa sababu sikaagi naye. Mungu mwema tukaitwa majibu yakawa shwari but mtihani ukanirudia tena mm kumwaminisha kama schepki! Dah UKIMWI unahofu ya kutisha wakuu.
 
Kitu pekee ni kuacha kuleta dawa, ili waathirika wote watoweke maisha yaanze upya. Hivihivi halitaisha hili janga. Na ikiwa hivi usishangae kwenye ukoo wenu mnabaki wa3.
Watatoweka vipi wote wakati hao walioambukizwa nao wanaendelea kuambukiza? Chain inaendelea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ