Uzi maalumu kwa watu wenye UKIMWI

Sawa, tuwe makini. HIV ipo

Kinachosikitisha ni kwamba wanawake hawaogopi kabisa UKIMWI ,wao wanazingatia maokoto tu,na hao ndiyo chanzo cha kusambaza grid kwa fujo ,Demu mmoja anaweza kusepa na kijiji cha watu hata 10.

Yaani wanakwambia magonjwa ya kuogopa ni cancer,kisukari,pressure etc kama walivyoambiwa na AGgrey Pita Kule.
 
linda tundu la mkojo lisigusane na utelezi (mucous membrane) alafu usinyoe na wembe utajikata then utelezi ukigusa pale wanapenya mpaka ndani...kama hauna C ya BIOS huwez elewa
 
linda tundu la mkojo lisigusane na utelezi (mucous membrane) alafu usinyoe na wembe utajikata then utelezi ukigusa pale wanapenya mpaka ndani...kama hauna C ya BIOS huwez elewa
Kuwa makini ndg
 
Hiyo Right Temp, ph na amount ni ipi? Mwenzio anaweka facts zote wazi na sababu zake wewe unasema righ, bla bla bla then unalazimisha watu wakuafiki.

Ukimwi utaua wale wasiotaka nywele za vichwa vyao kurudi nyuma cm chache kutengeneza komwe kama langu na bichwa komwe. Ila wanaopenda kushirikisha akili na kureason Huo ukimwi, sijui kifaduro na takataka zingine zinawaogopa, na zitawaogopa kama Moto.

Mimi tangu mdogo nilishajua Ukimwi ni Scam na miaka yote nashiriki Mapenzi na watu tofauti sijawah tumia manati.🧘😀. (Zaid ya miaka 10) na wengi ninaokuwa nao faraghani huwa nawapa elimu hii nao wanatupa hayo madubuasha.
 
Ila sikuhiz wanaokufa Wanakufa na kilo zao tele sio mifupa tena. Ndio maendeleo yaliyofikiwa mpk sasa.
 
Mkuu hongera kwa kuushinda ukimwi...kama umeweza kuukubali basi umeushinda. .
Wengine tumepenya penya kwa neema za Mungu mpk leo hatuna ni jambo la kumshukuru Mungu sio kwa nguvu zetu...
Asante sana. Jilinde ña uwalinde uwapendao HIV ipo.
 
Naamini unajilinda, asante
 
Acha kabisaaa, huu ugonjwa shida yake ni kumeza dawa kila siku duh!!!
Shida siyo kumeza dawa, shida kuipata hiyo dawa. Maana ni siku maalum na ukifika hospitali kuna sehemu maalumu ya kuchukua hizo dawa. Hebu imagine siku ya kwanza kuhudhuria clinic, watu utakao kutana nao pale
 
Shida siyo kumeza dawa, shida kuipata hiyo dawa. Maana ni siku maalum na ukifika hospitali kuna sehemu maalumu ya kuchukua hizo dawa. Hebu imagine siku ya kwanza kuhudhuria clinic, watu utakao kutana nao pale
Sio lazima uende hospital unayojulikana, wengi huchagua hospital za mbali kidogo walau kulinda faragha.
 
Vizuri! Kwa jinsi hali ilivyo unaweza fikiri hakuna HIV mpaka pale utakapoipata ndo utajua IPO na inaua ndoto za vijana wengi. Kama hujaathirika jilinde SANA.
Mungu atasaidia kwa uwezo wake na mimi nitafanya kwa uwezo wangu maana si kila aliyeupata au akajipata kwenye majanga makubwa zaidi hakujilinda. Sometimes ni maisha tu
 
Pole sana mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…