Hizo tena dalili za kuumwa Ukimwi virusi vikiingia unaweza kupata kama homa za malaria mafua sababu kinga ya mwili inapambana kama mwezi kisha unakaa hata miaka 5-10 hujijui kisha dalili zinaanza kama ulizo taja hapo ndo maana siku hizi ukienda unaumwa homa unapimwa unaanzishiwa ARV nashukuru Mungu niko salama kila nikipimwa naogopa na siogopi labda mie Malaya naogopa mtu wangu nilonae kama anaruka ruka nje wake wengi tunaletewa na waume.
Pole kwa kukosa usingizi usikate tamaa endelea kuishi kwa matumaini fata ushauri wa daktariUzi wowote unaofunguliwa tunafungua ili kujifunza, hata kama mtu haumuhusu
Mimi umenifufua akili nizidi kujilinda na kumuomba Mungu pia
Hapa hata usingizi umeniyeyuka
Inaogopesha sana. Kwa mtu yeyote mwenye akili timamu lazima aogopeHizo tena dalili za kuumwa Ukimwi virusi vikiingia unaweza kupata kama homa za malaria mafua sababu kinga ya mwili inapambana kama mwezi kisha unakaa hata miaka 5-10 hujijui kisha dalili zinaanza kama ulizo taja hapo ndo maana siku hizi ukienda unaumwa homa unapimwa unaanzishiwa ARV nashukuru Mungu niko salama kila nikipimwa naogopa na siogopi labda mie Malaya naogopa mtu wangu nilonae kama anaruka ruka nje wake wengi tunaletewa na waume.
Mbona anachuria wenzake mkuu ππππrelax mkuu.
mzabzabTukutane wote wenye virusi vya ukimwi na kuelezana ulijisikiaje ulipoambiwa kuwa una upungufu wa kinga mwilini?
Mimi nakumbuka ilikuwa 2020, mwezi wa 7 tarehe 17 nilipima katika hospitali moja ya mgodini, na kugundulika kuwa nina maambukizi, taarifa hiii ilikuwa mbaya sana kwangu ila baada ya hapo nilizoea na sasa naishi vyema kwa matumaini.
Twambie wewe mdau ulijisikiaje?
NB: Tutumie lugha safi yenye staha, tusibaguane wala kunyayapaana.
Akhsante.
Kinachokera sio uchungu au utamu bali ni harufu yake, as a matter of fact zinakinai mno, ndo maana wengi huziacha njianMkuu, Dawa ni chungu au angalau kidogo zina uperemende ndani yake? Maana kunywa dawa asubuhi, mchana na jioni hii ratiba sijui inawezekanaje.
Mbona haendi kuwafuata wagonjwa hospitali awape tiba mkuu?iJUMAAAA SPIRITUAL CHECK UP KAWE WALE WENYE MIMBA KWA APPMWAMPOSA
JMOSI KONGAMANO LA UKOMBOZI NA FAMILIA YAKOO SAA NANE TUNAMALIXA KESI ZOTE MUNGU ANAJIBU AKUNA UGONJWA USIOTIBIKA
Basi wewe shujaa, maana mm nikiwaza naona Bora kutokupima, ukiumwa malaria tibu malaria huku unakula vizuri. Kila mtu atakufa sasa kwanini kuteseka na madawa? Ila ukipima ukajua upo unakuwa ulishajiandaa kuwa ukikutwa nao ni nn utafanya.Kinachokera sio uchungu au utamu bali ni harufu yake, as a matter of fact zinakinai mno, ndo maana wengi huziacha njian
Nan kakwambia ARV ni bure mkuu,,,hawa wanatumia kodi za nchi na kuongezea maden nchi hakuna cha bure hapa dunianMbona unakula chakula kila siku.
Unapoenda kulala unakunywa dawa zako maisha yanaendelea.
Binafsi nawashukuru sana waliotengeneza RV na mamlaka zinazotoa hizo dawa kwa wahusika bure.
Bila hivyo lingekuwa janga la dunia.
Mkuu,Acha kabisaaa, huu ugonjwa shida yake ni kumeza dawa kila siku duh!!!
Inatokea sana kwa badhi ya watu wachache sanaMkuu,
Kuna mtu kwa takriban robo Karne sijawai mwona anameza dawa Ila anadunda
Some people were very strong
Mimi ukimwi ni nimepima sina ila sitosahauTukutane wote wenye virusi vya ukimwi na kuelezana ulijisikiaje ulipoambiwa kuwa una upungufu wa kinga mwilini?
Mimi nakumbuka ilikuwa 2020, mwezi wa 7 tarehe 17 nilipima katika hospitali moja ya mgodini, na kugundulika kuwa nina maambukizi, taarifa hiii ilikuwa mbaya sana kwangu ila baada ya hapo nilizoea na sasa naishi vyema kwa matumaini.
Twambie wewe mdau ulijisikiaje?
NB: Tutumie lugha safi yenye staha, tusibaguane wala kunyayapaana.
Akhsante.
Basi wewe shujaa, maana mm nikiwaza naona Bora kutokupima, ukiumwa malaria tibu malaria huku unakula vizuri. Kila mtu atakufa sasa kwanini kuteseka na madawa? Ila ukipima ukajua upo unakuwa ulishajiandaa kuwa ukikutwa nao ni nn utafanya.
Mgodi gani dingiNilipima baada ya kumtilia shaka manzi Angu kuwa huenda anajiuza kwa watu wa mgod
Inategemea. Mashaka si hatari ni hali tu ambayo haina muda inapita.The issue is utaishi kwa mashaka mno, bora upime tu.
Kuna mambo yanayo lazimisha kupima mfano kuingia jeshini, kipindi naenda kuoa tulichukuliwa na wife na mchungaji tukaenda kupimwa isee ilikua HOFU kwa pande zote mbili Ila majibu yakawa powaaBasi wewe shujaa, maana mm nikiwaza naona Bora kutokupima, ukiumwa malaria tibu malaria huku unakula vizuri. Kila mtu atakufa sasa kwanini kuteseka na madawa? Ila ukipima ukajua upo unakuwa ulishajiandaa kuwa ukikutwa nao ni nn utafanya.
Mkuu,Mimi ukimwi ni nimepima sina ila sitosahau
Jinsi nilivyoshudia ukimwi ukitekeleza mauji ya mtu nilimpenda sana MAMA ANGU MZAZI TENA DAKTARI ALIKUWA
Mama angu alikuwa yupo hapo wilaya inaitwa mafinga huwa kuna ukimwi sana tulihamia mwaka 1996 kutoka dar es salaam kwa miaka mingi nilishuhudia vifo vya majirani walivyokuwa na ukimwi sababu mama alikuwa daktar wengi walikuwa wakija nyumbani kutibiwa na kupewa ushauri miaka ile ya 90s hadi 2000s mwanzoni
2010 na kumi nikahama jumla mafinga na kuja dar kutafuta maisha baada ya kumaliz masomo yangu ya degree .....2013 tukamzika babangu mzazi ambae alichana na mama mama angu mwaka 96 sasa baada kutoka msibani nikamuuliza mama huyu baba kafa kwa HIV vipi ww utakuwa mzima akanijibu mimi ni mzima mwanangu
2016 nilikuwa na safari kwenda china kwa ajlii ya business zangu nikarudi mafinga kwenda kumuaga sasa alinituma kitu nikachukue chumbani kwake naingia nakuta ARV kitandani moyo wangu ulisononeka sana nakumbuka nililia sana ila mama angu akasema usilie ni jambo la kawaida nakumbuka akiniangalia kwa macho ya aibu huku pia akijikaza sababu alinipenda sana koz mimi wa mwisho kwetu
2020 kipindi ch korona mama angu mzazi anapapalaizi baada ya kupigwa stroke for two years anakuwa kitandani
2022 mama angu anaingia deadliest stage ya Ukimwi AIDS..Hapa sasa ndo nilijua ukimwi mbaya alitokwa na vidonda mgongo mzima sababu alikuwa kapalalaize hivyo bed sores zilimuandama sana.....wewe anakonda ....mno kumbuka mimi hapo miaka hiiyo mitatu natumia hela zngu binafsi nilitumia zaidi millioni 30 hadi niliyumba kidogo kiuchumi sababu ya kuuguza mgonjwa safari za magari dawa kwenda rufaa mara week nyumbani mwezi hospital ...mara hali hadi mipira mara awe kichaa mara awe mzima nyie ukimwi balaa stage ya mwisho ile
2022 machi hali inakuwa mbaya mgonjwa ni amepalalaize mwili umebaki kichwa tu....vidonda kila kona ndugu zake wananyanyapa yaani ilibidi nimkodi nesi wa kike anisaidie kazi kusafisha vidonda kila siku 20000tsh....... then mach 2022 mama akafariki .....taarifa ya kufAriki kwakwe ilinikutia bar nikiwa na marafika zangu nilikaa kimya
Nilirudi nyumbani nikasema pole na mama angu nilikupenda sana bora umekufa kuliko ulivyokuwa unateseka maana mgongo ulikuwa kama nyama buchani hakuna ngozi......
Nikasema nitakukumbuka daima na kukupenda daima then nikalala zangu nikatafuta dereva wa kuniendesha hadi mafinga iringa nikampa laki mbili nikajaza mafuta tukaondoka .....njiani nae dereva nusu aniue pale kitonga anasisinzia nikamwambia unajua mimi naenda msibani afu unaleta usengeee ...nikachukua chuma mwenyewe nikaendesha hadi mafinga
2022 machi 25 tukamzika mama angu mzazi msibani nilikuwa nauchungu kuwa sito muona tena ila kifo sometimes ni muhimu kwa mateso aliyoyapata kifo ilikuwa bora kuliko kuishi .....maana miguu mgongo ilikuwa ni nyama za buchani tu
Hadi leo hii hakuna siku inapita simkumbi mama angu mzazi
So wagonjwa wa ukimwi mezeni dawa pia hakikisheni vizuri
Pia serikali iweke sheria kwa hospital au madaktar kuwaua kwa maksudi kwa agizo la mgonjwa mwenyewe endapo stage aliye fikia hawezi pona maana inakuwa ni mateso sio kuumwa ....hasa kwa wagonjwa wa kansa mara nyingi madaktar hujua kuwa flan haponi wanabaki wanazuga tu na mgonjwa anateseka bure na maumivu makali yasio na mwisho.....
Mimi ukimwi ni nimepima sina ila sitosahau

Si ndiooo?? πππPole sana ndugu, humu jf mwenye UKIMWI ni wewe tu. sisi members wengine tumetoka kupima hivi karibuni kila mmoja yuko -ve.