ephen_
JF-Expert Member
- Oct 28, 2022
- 14,949
- 54,485
Mkuu naomba tuheshimiane!! Nishawahi kukuvunjia heshima?Acha umalaya, utakuwa unafanya kazi ya kupima kila siku?
Hata nikipima kila siku wewe unawashwa wapi?
Malaya mwenyewe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu naomba tuheshimiane!! Nishawahi kukuvunjia heshima?Acha umalaya, utakuwa unafanya kazi ya kupima kila siku?
Ulipokuta uko fresh uliendelea nae auWakati nipo songea 2008 kuna binti nilimpata tukawa wapenzi alikuwa na miaka 16 na nilikuwa na nia nimuoe kwasababu mtoto alikuwa mzuri na muelewa mno,,,basi ikawa tunasex sana tena bila kondom kwasababu niliwaza mtoto kama yule sio wakumtilia shaka,,,na ikapita miaka miwili tupo kwenye mahusiano ila kila mmoja anaishi kwake na yeye alikuwa anaishi na shangazi yake,,sasa kuna siku nilienda mtaani kwao kuna kitu nilimpelekea sasa tukawa tumesimama jirani na shule fulani hivi tunapiga story,,,kumbe kuna mtu mmoja akatuona pale na siku ya pili akanijia dukani akaniambia ndugu yangu yule binti unajuana nae kiundani? Nikamjibu hapana nipo kwenye mchakato wa kumtongoza jamaa akaniambia yule binti ana ukimwi kazaliwa nao, aisee nilivurugwa mno na nililia sana nikanyanyua simu nikampigia yule binti nikamuuliza kumbe wewe una ukimwi? Aisee dogo akaniambia tu ukweli huku analia kuwa ni kweli ni muathirika ila alikuwa anaogopa kuniambia nisije kumuacha na wakati mimi ndie nilikuwa namuhudumia kila kitu na binti maisha yao yalikuwa magumu mno,,,Sasa washkaji wakaniona kabisa nimevurugwa akili nipo kama mwehu kwasababu nilimpigia mama yangu simu nikamwambia mimi mwanao nina ukimwi kwahiyo sipo mbali nitakufa.ila baada ya miezi miwili nikaenda kupima nikakutwa nipo fresh aisee nilifurahi mno kama chizi na nikampigia yule binti simu nikamwambia nipo fresh binti alifurahi mno,, kwakufupisha story ni kwamba yule binti kafariki 2015 kwa ajali ya gari
Same hereHuu ugonjwa Kwa Sasa mambo yamekuwa tofauti Mother angu alikufa Kwa ukimwi R.I.P mommy enzi hizo huko Dodoma kibaigwa msimu wa biashara ya mahindi
Back in my struggling nilijikuta nimezaa na mwanamke mwenywe ukimwi aiseee nilichanganyikiwa
Nioipima kama mara 10 hiv lakini hamna kitu mtoto alizawa poa Sana na mpaka Leo npo nae yupo darasa la 3
Nlisha achana na mamake na mm npo powa nimeowa na watoto wangu Kwa mwanamke mwingine
Take care yourselves and others
Nimependa hii guts, kujitambua na kujikubali, wengi wetu hili huwa tatizo kubwa na ndio matokeo ya kufupisha saafr yetu ya maisha.Tukutane wote wenye virusi vya ukimwi na kuelezana ulijisikiaje ulipoambiwa kuwa una upungufu wa kinga mwilini?
Mimi nakumbuka ilikuwa 2020, mwezi wa 7 tarehe 17 nilipima katika hospitali moja ya mgodini, na kugundulika kuwa nina maambukizi, taarifa hiii ilikuwa mbaya sana kwangu ila baada ya hapo nilizoea na sasa naishi vyema kwa matumaini.
Twambie wewe mdau ulijisikiaje?
NB: Tutumie lugha safi yenye staha, tusibaguane wala kunyayapaana.
Akhsante.
Miaka ya 90 ulikuwa wapi kutoa hizi kauli zako, wakati ambapo watu walikufa na kilo kumi wewe ulitoa mchango gani kupunguza vifo?Kitu kinachoitwa UKIMWI au VVU hakiambukizwi kwa NGONO.
Haya ni maradhi yanayotokana na mifumo ya mwili kudhurika kwa sababu ya vitu fulani fulani.
Ndio maana unaweza kulala na mwenye UKIMWI / VVU ukalishika tumbua lake na kulinyandua hovyo hovyo tena kihuni lakini ukatoka ukiwa salama salimini.
Kitu pekee unachoweza kuambukizwa hapo ni GONOREA tu na SYPHILIS.
Hii ni elimu ya watu wachache sana. Nimekuibia siri tu.
Cc Lamomy NAMBA MOJA AJAYE NCHINI DR Mambo Jambo dronedrake Poor Brain mshamba_hachekwi
Nyie majasusi akina NAMBA MOJA AJAYE NCHINI mnatakiwa kuwasaidia hawa watu. Huu ndo uwanja wenu wa kutegua hivi vitanzi vya kijasusi.
Nilikuwa Geita.Miaka ya 90 ulikuwa wapi kutoa hizi kauli zako
[emoji477][emoji477]chaiIlikuwa mwaka 2001 nilikuwa na mchumba wangu akawa anahitaji kunivalisha Pete mwenyewe alikuwa hajatulia na Mimi nilikuwa na kamsimamo Fulani hivyo akaona asinisumbue aendelee kula nje
Sasa bwana mazingira ya kazi yakanifanya nikajikuta nimeliwa na kijana mmoja wa hapo kazini ambaye muda mwingi tulikuwa tuko wote ofisini ndio alienitoa bikira. Huwa sipendi kabisa ule Uzi wa kula tunda kimasihara nililiwa kizembe sana.
Mchumba akataka tuweke mipango tuvalishane Pete nikasema iliyopo nikapime kwanza nikijikuta salama basi nimlazimishe naye akapime acha [emoji24][emoji24][emoji24]kwanza. Nilienda kupima nikaambiwa niende baada ya wiki kipindi hicho nafikiri hata angaza ilikuwa haipo.
Baada ya wiki nikaenda [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] yule mama sijui yupo baada ya yale maswali Yao akaniambia umeadhirika yasikia yasikufike nililia sana nikiangalia Sina CV ya wanaume kichwani nikaanza kuomba sala za mwisho mwisho[emoji23][emoji23][emoji23]
Yule mama akañiambia kama una Imani unaweza kupona Kuna watu nimewapima nikakuta wagonjwa ila baada ya kuombewa walipona.
Akaniagizia Kwa mchungaji mmoja yule mchungaji alinisaidia sana japo hata Leo nikimwona siwezi mkumbuka.
Mchungaji alianza kuniambia Jinsi yeye alivyokuwa ameadhirika mwili umeishia alikonda Kila akienda kupima anakuta Bado anao wakati mwingine analazwa hivyo akawa ni mtu wa maombi sana muda mwingi hata ibada ikishatoka yeye anabaki pale madhabahuni akimlilia Mungu. Siku moja akaenda akapima akakuta mzima kabisa akapima baada ya miezi mitatu tena akakuta mzima.
Basi akaniambia usimwambie mtu watu watakutia hofu, omba tu Mungu peke yako. Nilikuwa naomba nyie nilikuwa nalia na Mungu nikakataga mawasiliano na Mchumba nikawa Mimi na Mungu tu nikapima mara ya kwanza nikapata negative nikapimaga tena niko negative.
Ila jamani asikuambie mtu dalili zote unaziona kisa tu umeujua ukweli baada ya vipimo kuonekana Sina nikawa sawa kabisa.
Nikajaga kuolewa na mtu mwingine kabisa japo Mchumba hakuamini na aliyenikula sijuagi yuko wapi niko na familia yangu. Kupona kupo ila ujitoe hasa hasa
DuuhKitu pekee ni kuacha kuleta dawa, ili waathirika wote watoweke maisha yaanze upya. Hivihivi halitaisha hili janga. Na ikiwa hivi usishangae kwenye ukoo wenu mnabaki wa3.
Kabisa mkuu.Wewe aliyekupima mara ya kwanza alijimix mwenyewe kitu huwa ni real Mzee unao unao hakuna maombi ya kukuponya UKIMWI
Hakuna imani inayo ponyesha ukimwi.Mchungaji alipona na Kuna familia moja ilikuwa victim wote ila walipona sema Kwa mtu ambaye Hana Imani ni ngumu kuamini
🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂🐑🐑🐑Acha umalaya, utakuwa unafanya kazi ya kupima kila siku?
Ukimwi ni contact ya damuKitu kinachoitwa UKIMWI au VVU hakiambukizwi kwa NGONO.
Haya ni maradhi yanayotokana na mifumo ya mwili kudhurika kwa sababu ya vitu fulani fulani.
Ndio maana unaweza kulala na mwenye UKIMWI / VVU ukalishika tumbua lake na kulinyandua hovyo hovyo tena kihuni lakini ukatoka ukiwa salama salimini.
Kitu pekee unachoweza kuambukizwa hapo ni GONOREA tu na SYPHILIS.
Hii ni elimu ya watu wachache sana. Nimekuibia siri tu.
Cc Lamomy NAMBA MOJA AJAYE NCHINI DR Mambo Jambo dronedrake Poor Brain mshamba_hachekwi
Nyie majasusi akina NAMBA MOJA AJAYE NCHINI mnatakiwa kuwasaidia hawa watu. Huu ndo uwanja wenu wa kutegua hivi vitanzi vya kijasusi.
KabisaKabisa mkuu.
Huu uzi watu wengine wana andika chai [emoji477] zao hapa kuchangamsha uzi tu..
Sikuendelea nae tenaUlipokuta uko fresh uliendelea nae au
Naam..ilikuwa balaa naona ulifungwa kabisa.Uzi wa Hornet ulileta balaa. Noma sana.