Uzi maalumu kwa wenye ndoa

Uzi maalumu kwa wenye ndoa

Protector

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2019
Posts
422
Reaction score
893
Kama upo kwenye ndoa na unafurahia, basi huu uzi unakuhusu ili tuweze kubadilishana uzoefu wa namna gani ya kuishi na wenza wetu kwa furaha.

Kupitia maoni mazuri yatakayotolewa hapa inawezekana tukawavuta wale ambao hawataki kuoa/kuolewa.

Karibuni sana

images
 
Mi niko vizuri kwenye ndoa yangu na man of God
Hongera sana, ukitaka amani inatakiwa wote muwe watu wa Mungu,au mmoja wenu awe amemshika sana Mungu, ingawa cha moto atakiona kwakuwa hili lango moja lililokuwa wazi shetani atakuwa akilitumia ili kumsumbua akili,na kama wote hamkumshika Mungu basi hapa ndipo shetani anaweka kabisa kilinge,kwahiyo mtakuwa mnashuhudia vumbi tu linatimka kila siku....
 
Huyu mwanaume, kila siku iendayo kwa Mungu namuangalia nisijue nifanye lipi la ziada ili tuzidi kudumisha huu upendo. Natamani nifikie level za mambo anayonifanyia najiona kabisa sifit, na sio kuhusu hela.

He is the most loving human being I’ve ever known. Very caring. Kuna wanaume ni heaven sent jamani. Natamani nielezee kitabu ila acheni tu.

Yaani nimejikuta nakuwa dependent kwa uwepo wake I think this is a side effect. Kudekeza si kudekeza. Mungu niwekee baba naniii wangu.
 
Nipo viziri na mtoto wa watu. Mungu anabariki tunaenda vizuri ups down za hapa na pale hazikosekani ila busara ndo inatumika kutatua.

Mungu asimamie na wale wanaotamani kuingia waingie ila waelewe lile somo la 'ishini na wanawake kwa akili" pia "wanawake waheshimuni waume zenu" pia lile la "wanaume wapendeni wake zenu"
Ukiona hayo masomo umeyaelewe na unaweza kuyaishi pepeo ileeee pale

upendo
Heshe
Akili

Kama huna hivyo wee endelea kuzini
 
Huyu mwanaume, kila siku iendayo kwa Mungu namuangalia nisijue nifanye lipi la ziada ili tuzidi kudumisha huu upendo. Natamani nifikie level za mambo anayonifanyia najiona kabisa sifit...
Wenzio humu watakuimbia shauri yako.
 
Hongera sana,ukitaka amani inatakiwa wote muwe watu wa Mungu,au mmoja wenu awe amemshika sana Mungu,ingawa cha moto atakiona kwakuwa hili lango moja lililokuwa wazi shetani atakuwa akilitumia ili kumsumbua akili,na kama wote hamkumshika Mungu basi hapa ndipo shetani anaweka kabisa kilinge,kwahiyo mtakuwa mnashuhudia vumbi tu linatimka kila siku...
ewaa maana Mungu alisema vitu vitatu vya ndoa sasa kama huna Mungu huwezi vifuata na huwezi vijua
 
Back
Top Bottom