Uzi maalumu kwa wenye ndoa

Uzi maalumu kwa wenye ndoa

Unajifaidia minyama mwenyewe....mashallah!
Burdan kabisa , najifaidia [emoji120]

Mungu ni mwema. Nashukuru nilipata mke Bora na amenisaidia sana kimawazo, kiuchumi, kihisia mana tuna miaka zaidi zaidi ya 15+ pamoja. Tangu ujanani mpaka ukubwani
 
Mola azidi kuwadumisha.
 
Mola azidi kuwadumisha.
Kwa hili kweli namshukuru Mungu. miaka tuliyodumu pamoja inatupa sababu nyingi za kuendelea kuwa pamoja. Huwa tunakaa tunakumbuka enzi hizo za kurusha mawe juu ya bati lao ili atoke. [emoji23][emoji23][emoji23]

2013 kitu kilikua modo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
FB_IMG_1676800992144~2.jpg
 
Ndoa na iheshimiwe na watu wote. Sifurahishwi na hila kundi humu kila inapoanzishwa mada ya ndoa slogan yao ni moja"kataa ndoa".Hivi wanataka tuwe na taifa la aina gani tusupokua na familia bora na imara. Maisha yananzia kwenye ndoa. Kadiri ndoa nyingi zinavyovunjika ndivyo amabavyo pia na maadili yanaporomoka.

Ukimpata ulieshibana nae usimwache ishini muitekeleze amri ya Mungu. Binafsi nna miaka 12 ndoani sasa sijawai juta.
 
Misingi ya ndoa yangu ni kupendana,kuvumiliana ,kusameheana, na kusaidiana. Asante Mungu kwa ndoa yenye amani,furaha na upendo.
Ni zaidi ya miaka 20 ndoani,ndoa yangu haijawahi kusuluhishwa na wazazi,ndugu,marafiki au mchungaji.Ikitokea kunakutofautiana tunakaa pamoja tunazungumza na maisha yanaendelea.
 
Combination ya hela+mke+nguvu za kiume inastawisha ndoa kwa asilimia 100%.

Tafakari unafeli wapi kwenye hio equation. Ukikosa kimojawapo lazma ndoa iwe ngumu tu.

Hapo kwenye Mke inabidi ufafanue maana kuna:-

1. Mke - Mkeo
2.Mke - Mke Jina
3.Mke - Mke wenu

Inatakia uoe Mke Mkeo then ukawa na Hela ,Mambo ya nguvu za kiume ni overated.
 
Misingi ya ndoa yangu ni kupendana,kuvumiliana ,kusameheana, na kusaidiana. Asante Mungu kwa ndoa yenye amani,furaha na upendo.
Ni zaidi ya miaka 20 ndoani,ndoa yangu haijawahi kusuluhishwa na wazazi,ndugu,marafiki au mchungaji.Ikitokea kunakutofautiana tunakaa pamoja tunazungumza na maisha yanaendelea.
Ubarikiwe
 
Tukizungumzia ndoa, tuna-deal na nini maana kuna ishu nyingi za kuzungumza. Ndoa ni pana sana, mtoa mada tusaidie.
 
Ndoa ni kwa wenye akili tu,mambumbu hawawezi kuishi na kudumu kwenye ndoa...
Ahsante mungu kwa kuniumba mwanaume.
 
Back
Top Bottom