Uzi maalumu kwa wenye ndoa

Uzi maalumu kwa wenye ndoa

aamyn, atufungulie heri sote halaf mkishakua wazazi yale mapenzi mnayahamishia kwa watoto jinsi wanaona mnavyoongea bila kukwaruzana mnataniana watoto unawaweka sawa akili zao kuliko nyumba yenye malumbano watoto hukosa amani,
Sitamani wanangu waje kuniona hata nikiinua sauti kwa baba toto
 
mimi hio ndio natumia sikai na jambo rohoni na wala hakai na jambo rohoni naweza nisimwambie ana kwa ana lakini nikamtumia kitabu kwenye msg na mtu anajua kweli nimeharibu sio kwa gazeti hili na maisha yanaendelea, kuna ile wanakumbushia yaliopita mkigombana kidogo tu mtu anakumbushia ya mwaka jan wajue lililopita limepita halina nafas tena na itamfanya mwenzie aone kumbe ana kinyongo bado hata mkisameheana anajua unafake kumsamehe
Safi sana👏🏼👏🏼
 
Huwezi kuta comment mbaya ya mwanamke humu, halafu kuna mchepuko wangu nae ka-comment anyway nipo nimekaa pale...!!!
 
Mi nimeingia janaView attachment 2522531View attachment 2522532View attachment 2522533
IMG-20230218-WA0013.jpg
 
Kama upo kwenye ndoa na unafurahia, basi huu uzi unakuhusu ili tuweze kubadilishana uzoefu wa namna gani ya kuishi na wenza wetu kwa furaha. Kupitia maoni mazuri yatakayotolewa hapa inawezekana tukawavuta wa wale ambao hawataki kuoa/kuolewa.
Karibuni sana
Mkuu uzi.mzuri huu,
ILA NDOA ZINA MAJIRA YOTE KAMA MZUNGUKO MWAKA MZMA MASIKA KIANGAZ N.K

Kiukwel mimi nimekuw naptia nyakat hzo za kuw na amani na furah kbsa ndan ya familia yangu kuna wakat mambo hubadilika kbs lakn mambo huw mabaya kwa kipnd kichache sana ambacho hakivuk mwezi.

Uzoefu kwangu na kwa wazee watu wa karbu mimi nimepat shida hasa mwanamke wangu alipopata mimba ya pili (ya mtoto wa kiume ) na kipnd cha kunyonyesha wanawake wanakuw na wivu ambao unawez kuwajumbisha sana

Ili ufanikiwa kama mwanaume hakiksha unasimama na mkeo nyakat zote ngumu na kutatua changamoto zote za kiuchumi au kuonyesha unafanyia kaz mambo muhm na usiwe mtu wa kukimbia Majukum yako kila wakat ,
Mwanamke anapend kusikilzwa pia Tumia akili sana kumpnga usiyokubaliana nayo lakn kubali yale ambayo unaona mawazo yake ambayo hayana nguvu sana yaan unawez kufanya na maisha yakaendelea

Muonyesh unampenda mkeo na kumjali muonyeshe akivuka mstari mwekunde unauwezo wakufanya maamuz ya kiume lakn usimuonyeshe wivu wa kitoto au kumchunga chunga na kumpenda sana

Msaidie Majukum ya nyumbn madogo madogo madogo , vua nguo zako ikibd , msaidie watoto wako wapelek shule , hospital klinik na hata kufatilia home work zake

Jitahid kusimamia mkeo jua mkeo ni zaid ya mtoto lolote analofanya mpe moyo mshauri muelekez hasa dunia ya sasa unawez kuta mkeo ana mambo fulan kiasi ni binafs kazi/ajira anasoma anasaidia Majukum fulan kwao

Msimamie na mpe uHuru

HAYA MAMBO YANAWEZEKAN KWA MWANAMKE TUU ALIE LELEWA KWENYE MAADILI NA AMBAE AJALI MAISHA SANA YA KUKAA NA WAMAMA WA MITAANI AMBAO WAO KAZI YAO NIKUTAKA KUELEZEA YA KWAO ILI YEYE AIGE AKULETEE NDAN YA NYUMBA YAKO
1676472014262.jpg
 
Siri ni kuwa marafiki,mpate muda wa kukaa kupiga story kama marafiki mpaka mnajikuta mnaongelea tofauti zenu kwa namna ya utulivu bila kuhamaki na hapo mnadumisha upendo katika ndoa yenu!
Makwazo yatakuwepo lakini mkiyashinda ndoa ni njema sana!
Hakuna raha kama uone jioni baba anarudi na watoto wanafurahia uwepo wake na weekend yupo nyumbani anacheza na kuonyesha upendo kwa watoto,raha sana jamani asikwambie mtu!
Hakuna kitu kizuri kama bond between baba na wanae mana kwetu wanawake bond huwa ipo automatic toka wakiwa tumboni!
Mungu awatunze na kuwapa maisha marefu wanaume wote wanaojali wake zao na watoto wao,hawa ni hazina kwa taifa!
Much respect to you all[emoji7]
Dogo hata akiwa tumboni anamjua baba yake ikiwa yupo karibu na mama yake muda mwingi
 
Kama upo kwenye ndoa na unafurahia, basi huu uzi unakuhusu ili tuweze kubadilishana uzoefu wa namna gani ya kuishi na wenza wetu kwa furaha. Kupitia maoni mazuri yatakayotolewa hapa inawezekana tukawavuta wa wale ambao hawataki kuoa/kuolewa.
Karibuni sana
Mshkaji wangu naweza Sema ni ofisi mate na mkewe mchaga. Nakumbuka wakati wakiwa bado hawajaona walikuwa wanapenda Sana na Kwa kweli hata baadae waliendelea na upendo wao .

Huyu mwanadada ni PS (muhutasi) wa ofisi za serikali kuu(sitataja Sana) hii dodoma Dodoma mara mwanamke akabadilika Sana a kama ujuavyo kuchapiwa Kwa PS si ishu muhimu Sana. Wakichapwa au wasipochapwa huwez jua. Hii ya makao makuu imeweka doa kubwa Sana. Jamaa ameanza kuhisia utofauti wa ndoa Yao.

To cutstory short. Mwanamke wa kichagga sio wabkupangiwa na mume. Hilo naliona tofauti na Mimi. Mwanamke ni kama watoto wangu anafuata maelekezo yangu.

Wakati wote wa kazi ukimuona jamaa namuonea huruma maana mchangga bana Tena Bora wangekuwa wote wachagga jamaa sio
 
Mkuu uzi.mzuri huu,
ILA NDOA ZINA MAJIRA YOTE KAMA MZUNGUKO MWAKA MZMA MASIKA KIANGAZ N.K

Kiukwel mimi nimekuw naptia nyakat hzo za kuw na amani na furah kbsa ndan ya familia yangu kuna wakat mambo hubadilika kbs lakn mambo huw mabaya kwa kipnd kichache sana ambacho hakivuk mwezi.

Uzoefu kwangu na kwa wazee watu wa karbu mimi nimepat shida hasa mwanamke wangu alipopata mimba ya pili (ya mtoto wa kiume ) na kipnd cha kunyonyesha wanawake wanakuw na wivu ambao unawez kuwajumbisha sana

Ili ufanikiwa kama mwanaume hakiksha unasimama na mkeo nyakat zote ngumu na kutatua changamoto zote za kiuchumi au kuonyesha unafanyia kaz mambo muhm na usiwe mtu wa kukimbia Majukum yako kila wakat ,
Mwanamke anapend kusikilzwa pia Tumia akili sana kumpnga usiyokubaliana nayo lakn kubali yale ambayo unaona mawazo yake ambayo hayana nguvu sana yaan unawez kufanya na maisha yakaendelea

Muonyesh unampenda mkeo na kumjali muonyeshe akivuka mstari mwekunde unauwezo wakufanya maamuz ya kiume lakn usimuonyeshe wivu wa kitoto au kumchunga chunga na kumpenda sana

Msaidie Majukum ya nyumbn madogo madogo madogo , vua nguo zako ikibd , msaidie watoto wako wapelek shule , hospital klinik na hata kufatilia home work zake

Jitahid kusimamia mkeo jua mkeo ni zaid ya mtoto lolote analofanya mpe moyo mshauri muelekez hasa dunia ya sasa unawez kuta mkeo ana mambo fulan kiasi ni binafs kazi/ajira anasoma anasaidia Majukum fulan kwao

Msimamie na mpe uHuru

HAYA MAMBO YANAWEZEKAN KWA MWANAMKE TUU ALIE LELEWA KWENYE MAADILI NA AMBAE AJALI MAISHA SANA YA KUKAA NA WAMAMA WA MITAANI AMBAO WAO KAZI YAO NIKUTAKA KUELEZEA YA KWAO ILI YEYE AIGE AKULETEE NDAN YA NYUMBA YAKOView attachment 2522528
mnapotosha watu kwa vifungu ambavyo havipo kwenye biblia
 
Back
Top Bottom