[emoji23][emoji23][emoji23]mawazo ya kimaskini haya. Wewe endelea kusubiriNi suala la muda tu mtazikimbia ndoa zenu.
Kataa ndoa.
Ngoja nisubiri nyuzi yako ya malalamiko ya mkeo 😂[emoji23][emoji23][emoji23]mawazo ya kimaskini haya. Wewe endelea kusubiri
Hongera sana, ukitaka amani inatakiwa wote muwe watu wa Mungu,au mmoja wenu awe amemshika sana Mungu, ingawa cha moto atakiona kwakuwa hili lango moja lililokuwa wazi shetani atakuwa akilitumia ili kumsumbua akili,na kama wote hamkumshika Mungu basi hapa ndipo shetani anaweka kabisa kilinge,kwahiyo mtakuwa mnashuhudia vumbi tu linatimka kila siku....Mi niko vizuri kwenye ndoa yangu na man of God
[emoji23][emoji23][emoji23]we endelea kusubiri kwa utulivu tu.Ngoja nisubiri nyuzi yako ya malalamiko ya mkeo [emoji23]
NakubaliCombination ya hela+mke+nguvu za kiume inastawisha ndoa kwa asilimia 100%.
Tafakari unafeli wapi kwenye hio equation. Ukikosa kimojawapo lazma ndoa iwe ngumu tu.
Madame S umenitenga sana. Sikupati kwa simu.Asante nimekaribia
😃😃 niko hewani 24/7 unatumia nmba ipiMadame S umenitenga sana. Sikupati kwa simu.
kuziniWenzio humu watakuimbia shauri yako.Huyu mwanaume, kila siku iendayo kwa Mungu namuangalia nisijue nifanye lipi la ziada ili tuzidi kudumisha huu upendo. Natamani nifikie level za mambo anayonifanyia najiona kabisa sifit...
Wanamjua sasa? Hata wakimuiba, Alhamdullilah labda Mungu atakua ameamua.Wenzio humu watakuimbia shauri yako.
Niliona muda mwingi haipo hewani nikaifutaga aisee🥹🥹🥹🥹Madame S umenitenga sana. Sikupati kwa simu.
Hongera sana,ukitaka amani inatakiwa wote muwe watu wa Mungu,au mmoja wenu awe amemshika sana Mungu,ingawa cha moto atakiona kwakuwa hili lango moja lililokuwa wazi shetani atakuwa akilitumia ili kumsumbua akili,na kama wote hamkumshika Mungu basi hapa ndipo shetani anaweka kabisa kilinge,kwahiyo mtakuwa mnashuhudia vumbi tu linatimka kila siku...
ewaa maana Mungu alisema vitu vitatu vya ndoa sasa kama huna Mungu huwezi vifuata na huwezi vijuaKitokacho kwa Mungu hakipotei kirahisiWanamjua sasa? Hata wakimuiba, Alhamdullilah labda Mungu atakua ameamua.
Hakika, hata dunia iumbwe tena, wakisema tukatafute wengine sijui wawe na nini. The bar is set too high. Wanaume wapendeni wake zenu jamani kuna guilt huwa inatupata when a man is too caring hutamani hata kuuliza makosa if you find one. Ndoa ni furaha ndoa ina afyaKitokacho kwa Mungu hakipotei kirahisi