Ms Billionaire
JF-Expert Member
- Jul 18, 2020
- 2,452
- 4,955
Sitamani wanangu waje kuniona hata nikiinua sauti kwa baba totoaamyn, atufungulie heri sote halaf mkishakua wazazi yale mapenzi mnayahamishia kwa watoto jinsi wanaona mnavyoongea bila kukwaruzana mnataniana watoto unawaweka sawa akili zao kuliko nyumba yenye malumbano watoto hukosa amani,
Hongera sana. Kikubwa ni maombi🙏 I keep mine in prayers daily. Naona bado haitoshi
Thanks love. Still striving to be moreCongrats for being 1Thess 5;17 wifey
na hata usitamani sio nzuri kabisaSitamani wanangu waje kuniona hata nikiinua sauti kwa baba toto
Safi sana👏🏼👏🏼mimi hio ndio natumia sikai na jambo rohoni na wala hakai na jambo rohoni naweza nisimwambie ana kwa ana lakini nikamtumia kitabu kwenye msg na mtu anajua kweli nimeharibu sio kwa gazeti hili na maisha yanaendelea, kuna ile wanakumbushia yaliopita mkigombana kidogo tu mtu anakumbushia ya mwaka jan wajue lililopita limepita halina nafas tena na itamfanya mwenzie aone kumbe ana kinyongo bado hata mkisameheana anajua unafake kumsamehe
Ah aah😂😂😂 hana jf buanaaNakupenda pia mke wangu umetambua utu na thamani yangu
Mkuu uzi.mzuri huu,Kama upo kwenye ndoa na unafurahia, basi huu uzi unakuhusu ili tuweze kubadilishana uzoefu wa namna gani ya kuishi na wenza wetu kwa furaha. Kupitia maoni mazuri yatakayotolewa hapa inawezekana tukawavuta wa wale ambao hawataki kuoa/kuolewa.
Karibuni sana
Dogo hata akiwa tumboni anamjua baba yake ikiwa yupo karibu na mama yake muda mwingiSiri ni kuwa marafiki,mpate muda wa kukaa kupiga story kama marafiki mpaka mnajikuta mnaongelea tofauti zenu kwa namna ya utulivu bila kuhamaki na hapo mnadumisha upendo katika ndoa yenu!
Makwazo yatakuwepo lakini mkiyashinda ndoa ni njema sana!
Hakuna raha kama uone jioni baba anarudi na watoto wanafurahia uwepo wake na weekend yupo nyumbani anacheza na kuonyesha upendo kwa watoto,raha sana jamani asikwambie mtu!
Hakuna kitu kizuri kama bond between baba na wanae mana kwetu wanawake bond huwa ipo automatic toka wakiwa tumboni!
Mungu awatunze na kuwapa maisha marefu wanaume wote wanaojali wake zao na watoto wao,hawa ni hazina kwa taifa!
Much respect to you all[emoji7]
NAKAZIANdoa ni USHETANI mtakatifu.
Hongera sana kampende mkeo
Nipo availablehebu ngoja nikutumie ambayo natumia
Mshkaji wangu naweza Sema ni ofisi mate na mkewe mchaga. Nakumbuka wakati wakiwa bado hawajaona walikuwa wanapenda Sana na Kwa kweli hata baadae waliendelea na upendo wao .Kama upo kwenye ndoa na unafurahia, basi huu uzi unakuhusu ili tuweze kubadilishana uzoefu wa namna gani ya kuishi na wenza wetu kwa furaha. Kupitia maoni mazuri yatakayotolewa hapa inawezekana tukawavuta wa wale ambao hawataki kuoa/kuolewa.
Karibuni sana
Unyama sana mwamba[emoji91][emoji91][emoji91]
mnapotosha watu kwa vifungu ambavyo havipo kwenye bibliaMkuu uzi.mzuri huu,
ILA NDOA ZINA MAJIRA YOTE KAMA MZUNGUKO MWAKA MZMA MASIKA KIANGAZ N.K
Kiukwel mimi nimekuw naptia nyakat hzo za kuw na amani na furah kbsa ndan ya familia yangu kuna wakat mambo hubadilika kbs lakn mambo huw mabaya kwa kipnd kichache sana ambacho hakivuk mwezi.
Uzoefu kwangu na kwa wazee watu wa karbu mimi nimepat shida hasa mwanamke wangu alipopata mimba ya pili (ya mtoto wa kiume ) na kipnd cha kunyonyesha wanawake wanakuw na wivu ambao unawez kuwajumbisha sana
Ili ufanikiwa kama mwanaume hakiksha unasimama na mkeo nyakat zote ngumu na kutatua changamoto zote za kiuchumi au kuonyesha unafanyia kaz mambo muhm na usiwe mtu wa kukimbia Majukum yako kila wakat ,
Mwanamke anapend kusikilzwa pia Tumia akili sana kumpnga usiyokubaliana nayo lakn kubali yale ambayo unaona mawazo yake ambayo hayana nguvu sana yaan unawez kufanya na maisha yakaendelea
Muonyesh unampenda mkeo na kumjali muonyeshe akivuka mstari mwekunde unauwezo wakufanya maamuz ya kiume lakn usimuonyeshe wivu wa kitoto au kumchunga chunga na kumpenda sana
Msaidie Majukum ya nyumbn madogo madogo madogo , vua nguo zako ikibd , msaidie watoto wako wapelek shule , hospital klinik na hata kufatilia home work zake
Jitahid kusimamia mkeo jua mkeo ni zaid ya mtoto lolote analofanya mpe moyo mshauri muelekez hasa dunia ya sasa unawez kuta mkeo ana mambo fulan kiasi ni binafs kazi/ajira anasoma anasaidia Majukum fulan kwao
Msimamie na mpe uHuru
HAYA MAMBO YANAWEZEKAN KWA MWANAMKE TUU ALIE LELEWA KWENYE MAADILI NA AMBAE AJALI MAISHA SANA YA KUKAA NA WAMAMA WA MITAANI AMBAO WAO KAZI YAO NIKUTAKA KUELEZEA YA KWAO ILI YEYE AIGE AKULETEE NDAN YA NYUMBA YAKOView attachment 2522528
Mwanangu mmj nahisi anahisi nainua sauti I hate hii tabia. Japo Kama huinuliwi sauti hata kama unachapwa na mumeo anaona kabisa Hana sauti kwako. Hapo Kuna shidaSitamani wanangu waje kuniona hata nikiinua sauti kwa baba toto
Itakuwa bado ndoa changandoa ni nzur san kwa sasa siwez kbsa kukaa mbali na mwenzangu bila sabb za msingi. kwa kwel naenjy