Philipo D. Ruzige
JF-Expert Member
- Sep 25, 2015
- 9,428
- 27,096
Burdan kabisa , najifaidia [emoji120]Unajifaidia minyama mwenyewe....mashallah!
Mola azidi kuwadumisha.Burdan kabisa , najifaidia [emoji120]
Mungu ni mwema. Nashukuru nilipata mke Bora na amenisaidia sana kimawazo, kiuchumi, kihisia mana tuna miaka zaidi zaidi ya 15+ pamoja. Tangu ujanani mpaka ukubwani
Kataa ndoa ni wapuuzi fulani waliofanya wrong choices, walioteswa na mapenzi, walioolea nyege n.kNdoa tamu nyie, Yani napenda vile ikifika usiku kulala bila nguo[emoji1787][emoji1787] team kataa ndoa poleni.
Ya kimaskini au ya kipumbavu ?[emoji23][emoji23][emoji23]mawazo ya kimaskini haya. Wewe endelea kusubiri
Kwa hili kweli namshukuru Mungu. miaka tuliyodumu pamoja inatupa sababu nyingi za kuendelea kuwa pamoja. Huwa tunakaa tunakumbuka enzi hizo za kurusha mawe juu ya bati lao ili atoke. [emoji23][emoji23][emoji23]Mola azidi kuwadumisha.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hawa jamaa wa kataa ndoa wana upuuzi sanaYa kimaskini au ya kipumbavu ?
Ujue hawa jamaa wanapitia changamoto kubwa sana za kihisia, ni vile tu jamii inawapuuzia ila walipaswa kuwa sehemu fulani kama camp wakipatiwa msaada.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hawa jamaa wa kataa ndoa wana upuuzi sana
Kuna matatizo mengi sana ya kijamii yanaweza kutatuliwa pale jamii itakapoona haja ya kuwasaidia hawa jamaa walioathirika kisaikolojia.Wengine wana matatizo ya kurithi na wengine wamekumbwa na stori za kwenye kahawa
Combination ya hela+mke+nguvu za kiume inastawisha ndoa kwa asilimia 100%.
Tafakari unafeli wapi kwenye hio equation. Ukikosa kimojawapo lazma ndoa iwe ngumu tu.
UbarikiweMisingi ya ndoa yangu ni kupendana,kuvumiliana ,kusameheana, na kusaidiana. Asante Mungu kwa ndoa yenye amani,furaha na upendo.
Ni zaidi ya miaka 20 ndoani,ndoa yangu haijawahi kusuluhishwa na wazazi,ndugu,marafiki au mchungaji.Ikitokea kunakutofautiana tunakaa pamoja tunazungumza na maisha yanaendelea.