Heart_Throb
Senior Member
- Apr 25, 2017
- 113
- 50
Yani hapo inakuwa nalipa riba ya Tsh 450,000/= kila mwezi?Mkuu labda ukope kwenye institution ya fedha. Tunakopesha kwa riba ya 15% kwa hiyo kwa mwezi hiyo mil 3 inazalisha 450,000. Kwa mwaka inakuwa imezalisha zaidi ya 5 mil. Ni ngumu.
Yes. Ndio maana nikasema uende kwenye taasisi za fedha. Sisi huku kitaa tunakamua sana.Yani hapo inakuwa nalipa riba ya Tsh 450,000/= kila mwezi?
Daaah nakweli aysee hiyo nomaa sanaYes. Ndio maana nikasema uende kwenye taasisi za fedha. Sisi huku kitaa tunakamua sana.
Yes mil 1 inazalisha 150,000/= kwa mwezi.
Hakuna namna. Jaribu huko.Daaah nakweli aysee hiyo nomaa sana
unajipangia, dhamana lazima iwe yenye thamani ya mil 6 si chini ya hapo mkopo wa mwaka na nusu, haya semaHabari?
Natafuta Mkopo wa Tsh Milioni 3 riba isizidi asilimia 20% kwa mwaka.
Msaada tafadhali.
Asante.
Dhamana ya hiyo Milioni 6 sina ila nimfanya kazi na ninauwezo wa kurejesha hiyo pesa nimekwama tu na ninauhitaji wa haraka.unajipangia, dhamana lazima iwe yenye thamani ya mil 6 si chini ya hapo mkopo wa mwaka na nusu, haya sema
Dhamana ni kiwanja changu na ajira yngu pia naweza kukupa Mkataba wa ajira uone kuku assure na uwezo wa kurejesha pesaSubr ila hujasema unaweka bond nn chenye hiyo dhamani ya 3mls.
Ila kama kuna ndugu yako humu Jf unataka akusaidie?
Bank wanahitaji leseni ya biashara na mimi biashara imeyumba na nikafunga mkuuNenda bank mkuu
Nahitaji laki tano, kiwanja kipo mbande na kinaukubwa wa mita 20 kwa 25.TOA OMBI KWA UWAZI LIELEWEKE. UNATAKA MKOPO KIASI GANI, KIWANJA KIPO WAPI, CHA UKUBWA GANI,
Mkuu utampa hela mtu hana biashara..atairudishaje..unaweza kukuta anataka aiuze io nyumba..kitachohusika apo sio nyumba tu..ni nyumba na leseni ya biashara ..akiwa navyo atapata kiurahisi sana..uko wapi, nyumba iko wapi na ikoje ? weka picha ya nyumba !
Tatizo watanzania hatuna busara ya kurudisha pesa kwa wakati lakini jamaa katanguliza kusema ana nyumba msadienihata bank zenyew zimekuwa bahilii