Uzi maalumu kwa wote wanaohitaji mikopo mbalimbali ya kifedha

Uzi maalumu kwa wote wanaohitaji mikopo mbalimbali ya kifedha

Mkuu labda ukope kwenye institution ya fedha. Tunakopesha kwa riba ya 15% kwa hiyo kwa mwezi hiyo mil 3 inazalisha 450,000. Kwa mwaka inakuwa imezalisha zaidi ya 5 mil. Ni ngumu.
Yani hapo inakuwa nalipa riba ya Tsh 450,000/= kila mwezi?
 
Habari?
Natafuta Mkopo wa Tsh Milioni 3 riba isizidi asilimia 20% kwa mwaka.
Msaada tafadhali.
Asante.
unajipangia, dhamana lazima iwe yenye thamani ya mil 6 si chini ya hapo mkopo wa mwaka na nusu, haya sema
 
Subr ila hujasema unaweka bond nn chenye hiyo dhamani ya 3mls.
Ila kama kuna ndugu yako humu Jf unataka akusaidie?
 
unajipangia, dhamana lazima iwe yenye thamani ya mil 6 si chini ya hapo mkopo wa mwaka na nusu, haya sema
Dhamana ya hiyo Milioni 6 sina ila nimfanya kazi na ninauwezo wa kurejesha hiyo pesa nimekwama tu na ninauhitaji wa haraka.
 
Subr ila hujasema unaweka bond nn chenye hiyo dhamani ya 3mls.
Ila kama kuna ndugu yako humu Jf unataka akusaidie?
Dhamana ni kiwanja changu na ajira yngu pia naweza kukupa Mkataba wa ajira uone kuku assure na uwezo wa kurejesha pesa
 
Ninahitaji mkopo wenye masharti nafuu, na riba ya kiwango cha kulipika, dhamana nilionayo ni kiwanja chenye hati ya mauziano ya kijiji.
Nawasilisha.
 
Habarini za jioni ...
Nahitaji mkopo wa milioni kumi na tano dhamana ya nyumba, kwa anaejua mtu anaeweza kunikopesha atakuwa amenisaidia.
 
Back
Top Bottom