Who Cares?
JF-Expert Member
- Jul 11, 2008
- 3,507
- 3,371
Ni tsh mkuuUsd au tshs?
Nimepatwa na dharula, nimewekeza nyumba ili mlolongo usiwe mrefuDhamana ya nyumba kwa mkopo wa milioni moja? Nini kimekupata mkuu
Loh! Mkuu umeuaaaMacbook air na WiFi router kwa laki 6 labda utapata mkopo kwa ndugu zako au marafiki
awamu hii mkopo wa laki 6 wenzako wanaweka gari...
Kila la kheri
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Macbook air na WiFi router kwa laki 6 labda utapata mkopo kwa ndugu zako au marafiki
awamu hii mkopo wa laki 6 wenzako wanaweka gari...
Kila la kheri
Raimundo kajamba. Hebu pandisha interest rate hadi 350%Riba 50%
[emoji3][emoji3][emoji3]Profile yako inasema una miaka 13 mkopo wa nini wewe?[emoji15] [emoji111]
Ndukiiiii[emoji125] [emoji125] [emoji125]