Uzi maalumu kwa wote wanaohitaji mikopo mbalimbali ya kifedha

Habari?
Natafuta Mkopo wa Tsh Milioni 3 riba isizidi asilimia 20% kwa mwaka.
Msaada tafadhali.
Asante.
Mkuu, hakunaga riba ya asilimia 20% kwa mwaka, hiyo ni kwa mwezi. Wanaita reducing balance kwa mwaka.

Huwezi kupata hiyo ya 20%
 
Hiyo kwa mwezi ndo sitakuwa na uwezo nayo nilihitaji kwa mwaka ndo 20% Labda hiyo Saccoss samahani naweza pata wapi kama unazifahamu?
Saccoss lazma uwe mwanachama mwny akiba ndipo ukopeshwe
 
Sharti uwe mkazi wa dar na unaruhusiwa kukopa baada ya miezi mitatu na unakopa mara tatu ya akiba yako...ni sacoss ya kanisa atakaehitaji jina pm
Naomba namba za simu za hiyo Saccoss niwatafute kiongozi..
Au Address yao yoyote niweze fika.
Asante.
 
mhh sikuhizi ni riba 40% hutaki unaacha kukopeshwa
 
Mkuu labda ukope kwenye institution ya fedha. Tunakopesha kwa riba ya 15% kwa hiyo kwa mwezi hiyo mil 3 inazalisha 450,000. Kwa mwaka inakuwa imezalisha zaidi ya 5 mil. Ni ngumu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…