sengobad
JF-Expert Member
- Aug 13, 2017
- 9,008
- 8,788
Unaomba nini?Mkuu hata sisi ni wakosefu tunatafuta tuu neema ya Mungu na kibali chake katika maisha ya Leo ndio maana tupo macho kuomba asubuhi hii na hata kuwakumbusha wengine
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaomba nini?Mkuu hata sisi ni wakosefu tunatafuta tuu neema ya Mungu na kibali chake katika maisha ya Leo ndio maana tupo macho kuomba asubuhi hii na hata kuwakumbusha wengine
Ninaomba toba, ninaomba nchi yangu iponyweUnaomba nini?
Nani alikudanganya kuwa ukiomba mabaya hayatokei?Mungu uliye mkuu,tunakuombea waja wako,tumeamka asubuhi hii tujalie ridhiki zetu kama upendavyo,tusitishe Salama siku ya Leo,tupe Amani ya mioyo,tulinde na mabaya yote Tunaomba na Kushukuru .Amina.
Nani alikudanganya kuwa ukiomba mabaya hayatokei?
AmeniView attachment 3126078Amkeni katika maombi. Mstari wa kusimamia 2 nyakati 7:14 " ikiwa watu wangu, walioitwa Kwa jina langu, watajinyenyekeza na kuomba na kutafuta uso, na kuziacha njia zao mbaya,n basi nitasikia Toka mbinguni na kuwasamehe dhambi Yao na kuiponya nchi Yao."
Asubuhi hii tunaalikwa na Baba kwenda mbele zake Kwa unyenyekevu na kuomba, Bwana atasikia kutoka mbinguni. Tafakari mstari huu Kwa utulivu Kisha tuingie katika maombi.
Kama huamini katika maombi kausha mzee babaNani alikudanganya kuwa ukiomba mabaya hayatokei?
AminaView attachment 3126078Amkeni katika maombi. Mstari wa kusimamia 2 nyakati 7:14 " ikiwa watu wangu, walioitwa Kwa jina langu, watajinyenyekeza na kuomba na kutafuta uso, na kuziacha njia zao mbaya,n basi nitasikia Toka mbinguni na kuwasamehe dhambi Yao na kuiponya nchi Yao."
Asubuhi hii tunaalikwa na Baba kwenda mbele zake Kwa unyenyekevu na kuomba, Bwana atasikia kutoka mbinguni. Tafakari mstari huu Kwa utulivu Kisha tuingie katika maombi.
Tufanye maombi bila kubagua diniJambo la muhimu wapendwa maombi yaende sawa na usomaji wa Neno biblia kila siku mfano unafanya maombi ya kuomba uponyaji fungua biblia tafuta vifungu vyote vinavyozungumzia uponyaji soma na ushike lisitoke kinywani mwako unaposoma neno na kulishika unakaribisha Ile nguvu ya Roho Mtakatifu huyu Roho Mtakatifu atakupeleka katika viwango vingine vya juu sana vya kufanya maombi na Bwana Yesu ataachilia hitaji lako ili upone
Hilo jambo ni zuri ila unajua sisi wakristo tunaomba maombi yetu kwa Bwana Yesu ambaye dini zingine hawamtambui kuwa huyu ndiye njia ya ukweli na uzimaTufanye maombi bila kubagua dini
Hata Waisilamu wanakaribishwa tusibague.
Admin ungeweka time table itakayokuwa inatuongoza katika kujifunza neno na maombi ambayo tunayotakiwa tunayafanye kuanzia jumatatu mpaka jumapili itasaidia sana kwa sisi wote kila leo tunapokutana hapa tujue tunaombea mambo gani kwa pamoja Roho Mtakatifu ananisemesha kuwa watu wengi watakombolewa kupitia jukwaa hili
View attachment 3121418
Ndugu watanzania kupitia Uzi huu nitakuwa Kila siku Alfajiri ninatuma mstari maalumu wa maombi Kwa wale waombaji wa asubuhi. Ufunguapo Uzi huu kuanzia saa nane kamili usiku utakutana na maneno yatakayokuongoza na kuchochea nguvu ya maombi.
MSTARI WA KUSIMAMIA
Zaburi 90:14 " Utushibishe Asubuhi kwa fadhila zako. Nasi tutashangilia na kufurahi siku zetu zote"
LUGHA;
Tunaomba Uzi huu uchangiwe Kwa Lugha nzuri yenye staha ili kuwasaidia wapenzi wa maombi ya Asubuhi kupata sehemu ya kutumiana jumbe na kuombeana. Haitakuwa busara kama hauamini katika maombi ukatukana au kukashifu jambo linaloweza kusababisha Uzi kufungwa.
Mbarikiwe na karibuni kwenye Uzi huu maalumu kwaajili ya maombi ya Asubuhi.
Asubuhi ya Leo 10/10/2024 post #13 au bofya hapo chini kupata mstari wa leo
Post in thread 'Uzi maalumu kwaajili ya maombi ya Alfajiri' Uzi maalumu kwaajili ya maombi ya Alfajiri
Leo 11/10/2024 post #49
Bofya kiungo hapo chini kwaajili ya maombi ya leo.
Post in thread 'Uzi maalumu kwaajili ya maombi ya Alfajiri' Uzi maalumu kwaajili ya maombi ya Alfajiri
New. 11/10/2024
Kwa watakao penda kupokea ujumbe wa maombi mstari wa KUSIMAMIA Kwa njia ya Text za kawaida ama watsup. Ni vyema tutawasiliana PM Kwa mujibu wa sera ya faragha ya Jf. Pia kuanzia Jumatatu ijayo yaani 14/10/2024 tutakuwa na watsup group mahsusi Kwa maombi. Kwa wenye uhitaji tuwasiliane PM.
Mbarikiwe
14/10/2024
Nawaombeni radhi Kwa ukimya wa siku mbili tatu hizi maombi mazuri siku zote hayakosi changamoto tuzidi kuombeana aidha Kwa Wana watsup tuzidi kujisajili... Tukutane muda wa maombi ya moto ! Usibaki nyuma!
15/10/2024 post#114 Post in thread 'Uzi maalumu kwaajili ya maombi ya Alfajiri' Uzi maalumu kwaajili ya maombi ya Alfajiri
Amkeni katika maombi. LEO, kuombea yaliyo magumu kwetu; Yeremia 32:27
Tazama mimi ni Bwana. Mungu wa wote wenye mwili. Je Kuna Neno gumu lolote nisilo liweza?
Karibu tumwendee Mungu Asubuhi ya Leo tukiamini kuwa katika yote tutakayo mpelekea anaweza na atatenda. Karibu Kwa maombi ubarikiwe mtumishi wa Bwana.
View attachment 3127230