Juandeglo
JF-Expert Member
- Dec 20, 2014
- 1,040
- 2,806
Tusali.
Ee Mungu mwingi wa rehema, tunalitukuza jina lako kwa wema wako mkuu usioisha katika maisha yetu ya kila siku. Leo tunakuomba tupe kujua yatupasayo kutenda kwa wakati kama vile Yesu alivyosema kuwa "Laiti ungelijua yakupasayo kutenda ee Yerusalemu". Tunaomba Roho wa hekima aambatane nasi siku zote tupate kuisikia sauti yako katika mifumo ya familia, serikali, biashara, na maeneo yote uliyotuweka wewe mwenyewe.
Tukumbushe kuwa saa yoyote tunaweza toka katika nafasi tulizowekwa ikiwa tutakuwa na jeuri, majigambo, kujiinua na viburi vya kipepo. Tusiwe kama malkia Vashty alielewaga na madaraka na entittlement kiasi cha kwamba akajiona wa muhimu sana kuacha kutii sauti yako kupitia mume wake na mfalme wa Shushani ngomeni. Kiburi hutangulia anguko, na Vashty akang'olewa katika kiti chake na mfumo wa kimbingu, akapatikana mwingine wa kumreplace.
Tusaidie hasa sisi kina mama tupate kulitambua hili siku zote za maisha yetu ili tuwe wanyenyekevu chini yako ee Bwana kupitia waume zetu, watoto wetu, na kila mahali unapotuweka wewe. Nafasi yoyote utupayo, tupe kujua ni transitional na saa yoyote tunaweza kuondolewa na wewe ikiwa tutajiona keki. Basi tunaomba haya katika Jina la Yesu Kristo, we place our low egoz before you, exalt us in your due time. Amen. Thank you Jesus. We love you🙏🙏🙏