mtwa mkulu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2013
- 8,586
- 11,227
- Thread starter
- #121
Nitafanyia kazi mkuuAdmin ungeweka time table itakayokuwa inatuongoza katika kujifunza neno na maombi ambayo tunayotakiwa tunayafanye kuanzia jumatatu mpaka jumapili itasaidia sana kwa sisi wote kila leo tunapokutana hapa tujue tunaombea mambo gani kwa pamoja Roho Mtakatifu ananisemesha kuwa watu wengi watakombolewa kupitia jukwaa hili