Gulio Tanzania
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 3,325
- 7,807
Bwana Yesu asifiwe wapendwa
Kesho tutakuwa na maombi ya shukrani
Kesho tutakuwa na maombi ya shukrani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
View attachment 3121418
Ndugu watanzania kupitia Uzi huu nitakuwa Kila siku Alfajiri ninatuma mstari maalumu wa maombi Kwa wale waombaji wa asubuhi. Ufunguapo Uzi huu kuanzia saa nane kamili usiku utakutana na maneno yatakayokuongoza na kuchochea nguvu ya maombi.
MSTARI WA KUSIMAMIA
Zaburi 90:14 " Utushibishe Asubuhi kwa fadhila zako. Nasi tutashangilia na kufurahi siku zetu zote"
LUGHA;
Tunaomba Uzi huu uchangiwe Kwa Lugha nzuri yenye staha ili kuwasaidia wapenzi wa maombi ya Asubuhi kupata sehemu ya kutumiana jumbe na kuombeana. Haitakuwa busara kama hauamini katika maombi ukatukana au kukashifu jambo linaloweza kusababisha Uzi kufungwa.
Mbarikiwe na karibuni kwenye Uzi huu maalumu kwaajili ya maombi ya Asubuhi.
Asubuhi ya Leo 10/10/2024 post #13 au bofya hapo chini kupata mstari wa leo
Post in thread 'Uzi maalumu kwaajili ya maombi ya Alfajiri' Uzi maalumu kwaajili ya maombi ya Alfajiri
Leo 11/10/2024 post #49
Bofya kiungo hapo chini kwaajili ya maombi ya leo.

New. 11/10/2024
Kwa watakao penda kupokea ujumbe wa maombi mstari wa KUSIMAMIA Kwa njia ya Text za kawaida ama watsup. Ni vyema tutawasiliana PM Kwa mujibu wa sera ya faragha ya Jf. Pia kuanzia Jumatatu ijayo yaani 14/10/2024 tutakuwa na watsup group mahsusi Kwa maombi. Kwa wenye uhitaji tuwasiliane PM.
Mbarikiwe
14/10/2024
Nawaombeni radhi Kwa ukimya wa siku mbili tatu hizi maombi mazuri siku zote hayakosi changamoto tuzidi kuombeana aidha Kwa Wana watsup tuzidi kujisajili... Tukutane muda wa maombi ya moto ! Usibaki nyuma!
15/10/2024 post#114 Post in thread 'Uzi maalumu kwaajili ya maombi ya Alfajiri' Uzi maalumu kwaajili ya maombi ya Alfajiri
16/10/2024 post no 23 Post in thread 'Uzi maalumu kwaajili ya maombi ya Alfajiri' Uzi maalumu kwaajili ya maombi ya Alfajiri
Leo 18/10/2024
Page #140 Post in thread 'Uzi maalumu kwaajili ya maombi ya Alfajiri' Uzi maalumu kwaajili ya maombi ya Alfajiri
Leo 19/10/2024

Post #144
Leo 21/10/2024
Leo 23/10/2024Uzi maalumu kwaajili ya maombi ya Alfajiri
Zaburi 90:14 Utushibishe asubuhi kwa fadhili zako. Nasi tutashangilia na kufurahi siku zetu zote. Psalm 90:14 Oh, satisfy us early (in the morning) with Your mercy (steadfast love), That we may rejoice and be glad all our days! Amina nyingi mtumishi mjoli wa bwanawww.jamiiforums.com
Uzi maalumu kwaajili ya maombi ya Alfajiri

Ubarikiwe kuanzisha uzi mzuri sana...

Kaka ubarikiweKesho tutakuwa na maombi ya kupata hakikisho la ulinzi wa Mungu
Kuna jambo nataka niseme na nyie wapendwa unapokuwa wewe mwenyewe faragha katika maombi ya usiku kama una jambo kwa muda mrefu halipati majibu anza sasa Leo kuomba kwa msisitizo neno moja ombea hata kwa mara kumi utaanza kuona matokeo Kuna ufahamu Mungu atauachilia kwako utapata urahisi wakutatua changamoto yoyote
Kwa wewe ambaye ukilala unatoa ndoto mbaya za shetani zile ndoto za kuota upo shuleni,unakula,unakimbizwa, unaingiliwa kimwili nk
anza kuomba hivi kwa msisitizo
"Kazi zote za shetani maishani mwangu nazikanyaga kwa damu ya Yesu"
"Mipango yote ya shetani naikataa kwa damu ya Yesu "
Omba hivi rudia ata mara 10 ukiwa katika Roho na kweli utaanza kuona matokeo
Tumepewa amri yakuharibu kazi za shetani
Luka 10:19
Zaburi 44:5
Zaburi 91:13
Kama umeota ndoto usiku ukawa haujaielewa ukiamka katika maombi muulize Roho Mtakatifu ndoto hiyo inamana gani Mungu atakupa majibu
Ndoto ni lango na ndio mana imeandikwa hivi
Waefeso 6:12
Kwa maana kushindana kwetu sisi si juu ya damu na nyama; bali ni juu ya falme na mamlaka, juu ya wakuu wa giza hili, juu ya majeshi ya pepo wabaya katika ulimwengu wa roho.
Bwana Yesu awabariki sana
Amina nduguUbarikiwe kuanzisha uzi mzuri sana...
Ukiufuta tutapata qapi kuelewa mnavyojazana ujinga?Ndugu hata huu Uzi tuufute tuu kwakuwa unakinzana na imani yako?
Basi Amina tusije tukamuingiza shetani kwenye Uzi wetu ulikuwa umetulia sanaUkiufuta tutapata qapi kuelewa mnavyojazana ujinga?
Usiwe kondoo.
Tayari keshaingia humu, tuongeze maombi ili ashindwe na kulegea huyo(u) shetani.Basi Amina tusije tukamuingiza shetani kwenye Uzi wetu ulikuwa umetulia sana
Haya hiyo ni nini? Ni uenda wazimu kubishania imani ya mapokeo, dini ziko nyingi sio uislamu na ukristo au Uyahudi tuu bali kuna zingine kama Budha na huwasikii wakileta mabishano.
Kila mtu aamini atakacho tusilazimishane maana mwishowe ni kuchakazwa kama kule Gaza bure!
Ndugu hata huu Uzi tuufute tuu kwakuwa unakinzana na imani yako?
AMENBwana Yesu asifiwe wapendwa