Uzi maalumu wa kujua gharama za ujenzi wa majengo mbalimbali

True.. jamaa yangu ametumia 23M kwa 4bedrooms hapo Magrill yamebaki kwa fundi anadaiwa nusu na finishing hajaanza kabisa..ila ela imeyeya ivo wakati fundi alimwambia itabaki kupaka rangi tu 😭😭
 
True.. jamaa yangu ametumia 23M kwa 4bedrooms hapo Magrill yamebaki kwa fundi anadaiwa nusu na finishing hajaanza kabisa..ila ela imeyeya ivo wakati fundi alimwambia itabaki kupaka rangi tu [emoji24][emoji24]

Kuna raia wanasema bila milioni 150 huwezi kujenga nyumba ya vyumba vinne,yaani boma pekee ni milioni 50[emoji28]kwahiyo huyo jamaa yako kajenga nyumba kwa kutumia gazeti?[emoji276]
 
Chukua sqm za nyumba yako yote zidisha kwa 500,000 utapata makisio ya kumaliza kila kitu mpaka kuhamia. Ukikomaa mwenyewe unaenda nunua vitu na kusimamia hasa itapungua. 500,000 ni makisio ya chini maana sasa hivi vifaa vya ujenzi vimepanda bei sana inaenda mpaka 600000 - 800000 kwa sqm inategemea na ubora wa vifaa vyako na aina ya ujenzi. (Kwa Dar es Salaam)
 
VEry pro advice
 
Kuna raia wanasema bila milioni 150 huwezi kujenga nyumba ya vyumba vinne,yaani boma pekee ni milioni 50[emoji28]kwahiyo huyo jamaa yako kajenga nyumba kwa kutumia gazeti?[emoji276]
jamani hizi ni professional za watu kabla hujabisha au kukubali hoja hakikisha unaelewa maswala ya ujenzi vizur. garama za ujenzi zinategemea sana na
1. location ya ardhi unapojenga kiwanja kimekaaje
2. garama za material za ujenzi zinatofautiana mfano mfuko wa cement mwanza na arusha au dar ni tofauti.
3. ramani husika. ( nyumba inaweza kuwa na vyumba vitatu au vinne ikawa na square meters kubwa kutokana na ukubwa wa vyumba mfano. standard chumba ni mita 3*3.5 ila kuna sehemu watu wanapendelea chumba kiwe na mita 3.5 *4
ushauri tafuta mtu anayeelewa vizur mambo ya mchanganuo wa ujenzi akuandalie BOQ ya ujenzi itakayoonyesha quotation za bei kulingana na ramani yako
 
Humu watu mbona kama mnadanganya..nyumba yangu ya vyumba vinne kipaua pekee nilitumia 25+m
 
Mimi nilijenga nyumba ya 4 bedrooms na kwa specifications karibu sawa na ulizotoa hapo juu mwaka 2019 hapa Iringa. Gharama zote na kuingia ndani kuishi ikiwa complete kwa matofali ya block ya cement nilitumia 122,000,000/-
Tupia picha ya hiyo nyumba tuione
 
Naomba kaz ya finishing mkuu 0757735884 au tembelea ukurasa wetu.Instagram highland _decor_solution
 
Unaweza kutumia 80m up to 100m ukisimamia vizuri

Kusimamisha boma hadi kupaua utatumia around 30 -35 m.

Twende inbox nikupe mchanganuo wa nyumba yangu mwenyewe garama nilizozitumia
 
Jenga taratibu nunua tofari kadhaa,mchanga,cement,piga msingi,kwa nunua vitu hata vya laki mbili,Anza kujenga hata kama una elfu 50!!ukisema udundulize mpaka ifike 45M!utakimbia,may be kama una mkopo,na upo sehemu yenye asali,
Mi nimejenga nyumba tstu kwa pesa ya kubangaiza,200K,300K,500K,100K,namuuliza fundi,msingi Tsh ngapi,material kiasi gani,nanunua taratibu,nikipata natafuta pesa ya fundi,anajenga,vitu vikiisha,tunasimama,navuta nguvu Tena,mdogo mdogo!!
Nina nyumba Njiro Arusha,Kisasa Dodoma,nk
 

Shukrani sana kiongozi [emoji1488]ila watakuja hapa wajuba watasema wewe ni motivation speaker [emoji346]!,kwa nyumba moja jumla yake ilikugharimu kiasi gani mkuu?
 
Shukrani sana kiongozi [emoji1488]ila watakuja hapa wajuba watasema wewe ni motivation speaker [emoji346]!,kwa nyumba moja jumla yake ilikugharimu kiasi gani mkuu?
Mil 15!πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Nitumie mchoro 0655173113 ili niweze jua ukubwa wa nyumba
 
Naomba kujua gharama za ujenzi mpaka lenta.

Urefu 18m upana 14mita
vyumba vitatu, kimoja masta, seble choo public na stoo pemben ndogo, Dar es Salaam.

18mx14m=252SQM[emoji276]!,hiyo ni nyumba ama shule mkuu?252x500000tsh andaa kiasi kisichopungua 12600000tsh hadi hiyo shule kukamilika [emoji28]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…