Naomba kufahamu hizi mashine zinapatikana wapi na thamani yake ikoje??Hiyo mashine ya kupukuchua mahindi umenikumbusha sehemu moja wilayani kilindi kuna jamaa ana hiyo mashine aisee jamaa anasepa na kijiji balaa. Ujue kule kilindi, Tanga wanalima mahindi sijapata kuona watu wanalima balaa ukiwa na mashine hiyo hasa kipindi hichi utawakusanya watu balaa. Labda ushidwe ww tu
Natafuta connection ya biashara ya mbao
@YoungJigger
Mkuu tuko wengi,,,ungeweka tu hapa
Mkuu tuko wengi,,,ungeweka tu hapa
Ebhana nahitaji mbao kwa bei ya kawaida napataje connection mana hizi mbao za dar bei juu
Kwa atakaye itaji dagaa(chakula cha kuku) kutoka kanda ya ziwa karibu tuone tunafukuza vipi umasikini.
Naomba kufahamu hizi mashine zinapatikana wapi na thamani yake ikoje??
Sent using Jamii Forums mobile app
Natafuta mwenye connection ya wanapouza CD zilizotafsiriwa kwa bei ya jumla
Naomba nitajiwe bei yake
Pia nahitaji connection wanapouza charger USB earphones flash screen protector na cover za simu kwa bei ya jumla
Sent using Jamii Forums mobile app
Upo mkoa ganiWale wadada Size 10-14 Mnaopenda Blouse,tops skin na gauni za Mtumba
zinapatikana kwangu,
Quality Grade A hamna magumashi
karibuni Pm.
Ni pm nikupe namba, naogopa kutoa namba ya mtu hadharani mkuu.Natafuta Duka wanalouza gps tracking device zile zinazotumia sim card kwa ajili ya pikipiki na magari
Hao dagaa kwa ajili ya chakula cha kuku unauza kiasi gani kwa debe?
9,500~ 13,000 bossy maongezi yapo ,na inategemeana na wewe unaitaji vipi
Mkuu sijakuelewa vizuri unapo sema bei ni 9,500 mpaka 13,000 ni kutokana na ubora wa dagaa ama.? Na kwa kila debe linakuwa na kilogram ngapi?
Yaah kutokana na ubora wa dagaa , na upatikanaji wake si unajua dagaa sio kama product za kiwandani production zinafanyika daily. Dagaa wanauza kwa debe,visado ni wewe utasema ujaziwe kilo ngapi kwa kulingana na idadi ya debe zitakazotumika kufikisha hizo kilo.