Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

Hiyo mashine ya kupukuchua mahindi umenikumbusha sehemu moja wilayani kilindi kuna jamaa ana hiyo mashine aisee jamaa anasepa na kijiji balaa. Ujue kule kilindi, Tanga wanalima mahindi sijapata kuona watu wanalima balaa ukiwa na mashine hiyo hasa kipindi hichi utawakusanya watu balaa. Labda ushidwe ww tu
Naomba kufahamu hizi mashine zinapatikana wapi na thamani yake ikoje??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu sijakuelewa vizuri unapo sema bei ni 9,500 mpaka 13,000 ni kutokana na ubora wa dagaa ama.? Na kwa kila debe linakuwa na kilogram ngapi?

Yaah kutokana na ubora wa dagaa , na upatikanaji wake si unajua dagaa sio kama product za kiwandani production zinafanyika daily. Dagaa wanauza kwa debe,visado ni wewe utasema ujaziwe kilo ngapi kwa kulingana na idadi ya debe zitakazotumika kufikisha hizo kilo.
 
Kwa kilogram moja unauza kiasi gani?

Back
Top Bottom