Laury
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 1,272
- 1,510
Naomba kufahamu hizi mashine zinapatikana wapi na thamani yake ikoje??Hiyo mashine ya kupukuchua mahindi umenikumbusha sehemu moja wilayani kilindi kuna jamaa ana hiyo mashine aisee jamaa anasepa na kijiji balaa. Ujue kule kilindi, Tanga wanalima mahindi sijapata kuona watu wanalima balaa ukiwa na mashine hiyo hasa kipindi hichi utawakusanya watu balaa. Labda ushidwe ww tu
Sent using Jamii Forums mobile app